4 matches on...Nilishasema kila mtu ashinde game zake zote zilizobaki kuombeana dua mbaya haifanyi kazi
Yan mkuu unaitegemea man u iliyopigwa 4 na evertonHutaamini hiyo jumatano
Amen4 matches on...
Hakuna kupoteza
Yan mkuu unaitegemea man u iliyopigwa 4 na everton
Crystal palace are better than man u.Hiyo ni Derby kiongozi
Uwanja wa Emirates Arsenal alimpiga Man Utd 2-0, Arsenal katika uwanja huo huo akampiga na Chelsea 2-0 ila leo katika uwanja huo huo wa Emirates Arsenal amepigwa 3-2 na Crystal Palace hiyo ni kwasababu mechi ya Arsenal na Crystal Palace ni London Derby mkuu
Yan man u nivigumu kutunyima point 3Hiyo ni Derby kiongozi
Uwanja wa Emirates Arsenal alimpiga Man Utd 2-0, Arsenal katika uwanja huo huo akampiga na Chelsea 2-0 ila leo katika uwanja huo huo wa Emirates Arsenal amepigwa 3-2 na Crystal Palace hiyo ni kwasababu mechi ya Arsenal na Crystal Palace ni London Derby mkuu
Crystal palace are better than man u.
Mfano wako kwa Crystal Palace nikwamba waliingia kama Underdog ila wamepata matokeo sababu ilikua ni berby, hivyo ata United ni underdog kwa City ila wanaweza kufanya maajabu kwasababu ni berby?Hiyo ni Derby kiongozi
Uwanja wa Emirates Arsenal alimpiga Man Utd 2-0, Arsenal katika uwanja huo huo akampiga na Chelsea 2-0 ila leo katika uwanja huo huo wa Emirates Arsenal amepigwa 3-2 na Crystal Palace hiyo ni kwasababu mechi ya Arsenal na Crystal Palace ni London Derby mkuu
Bisaka,zaha.Hicho kitu hapana mkuu
Man Utd kuna Pogba, kuna Martial, Kuna Rashford, kuna Lukaku, Kuna Mata, Kuna Lindlof, kuna Shaw
Hamna mchezaji wa Crystal Palace anaeingia kwenye first Eleven ya Man Utd
Sitaki kuamini eti W. Zaha akija United hapati nafasi kikosi cha kwanzaHicho kitu hapana mkuu
Man Utd kuna Pogba, kuna Martial, Kuna Rashford, kuna Lukaku, Kuna Mata, Kuna Lindlof, kuna Shaw
Hamna mchezaji wa Crystal Palace anaeingia kwenye first Eleven ya Man Utd
Pole sana mkuuWeekend inaisha vibaya sana.
Sure kwa wasiotaka big 4Weekend inaisha vibaya sana.
Mfano wako kwa Crystal Palace nikwamba waliingia kama Underdog ila wamepata matokeo sababu ilikua ni berby, hivyo ata United ni underdog kwa City ila wanaweza kufanya maajabu kwasababu ni berby?
That's sure jamaa anajua akosi namba utd.Sitaki kuamini eti W. Zaha akija United hapati nafasi kikosi cha kwanza
Sitaki kuamini eti W. Zaha akija United hapati nafasi kikosi cha kwanza
That's sure jamaa anajua akosi namba utd.