The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo liverpool naona kapewa penalty uchwara.
Timu nyingine yoyote haiwezi kupewa penalty amna ile.
Kocha wa cadiff huwa anaonewa sana maskini
 
Yan mkuu unaitegemea man u iliyopigwa 4 na everton

Hiyo ni Derby kiongozi

Uwanja wa Emirates Arsenal alimpiga Man Utd 2-0, Arsenal katika uwanja huo huo akampiga na Chelsea 2-0 ila leo katika uwanja huo huo wa Emirates Arsenal amepigwa 3-2 na Crystal Palace hiyo ni kwasababu mechi ya Arsenal na Crystal Palace ni London Derby mkuu
 
Crystal palace are better than man u.
 
Yan man u nivigumu kutunyima point 3
Sijui labda maajab ya mpira
 
Crystal palace are better than man u.

Hicho kitu hapana mkuu
Man Utd kuna Pogba, kuna Martial, Kuna Rashford, kuna Lukaku, Kuna Mata, Kuna Lindlof, kuna Shaw

Hamna mchezaji wa Crystal Palace anaeingia kwenye first Eleven ya Man Utd
 
Hiyo ni Derby kiongozi

Uwanja wa Emirates Arsenal alimpiga Man Utd 2-0, Arsenal katika uwanja huo huo akampiga na Chelsea 2-0 ila leo katika uwanja huo huo wa Emirates Arsenal amepigwa 3-2 na Crystal Palace hiyo ni kwasababu mechi ya Arsenal na Crystal Palace ni London Derby mkuu
Mfano wako kwa Crystal Palace nikwamba waliingia kama Underdog ila wamepata matokeo sababu ilikua ni berby, hivyo ata United ni underdog kwa City ila wanaweza kufanya maajabu kwasababu ni berby?
 
Hicho kitu hapana mkuu
Man Utd kuna Pogba, kuna Martial, Kuna Rashford, kuna Lukaku, Kuna Mata, Kuna Lindlof, kuna Shaw

Hamna mchezaji wa Crystal Palace anaeingia kwenye first Eleven ya Man Utd
Bisaka,zaha.

Hao wachezaj wa man u wanapaishwa sana alafu ushuzi mtupu.

Alaf hio game kumbuka kwa city ni final
 
Hicho kitu hapana mkuu
Man Utd kuna Pogba, kuna Martial, Kuna Rashford, kuna Lukaku, Kuna Mata, Kuna Lindlof, kuna Shaw

Hamna mchezaji wa Crystal Palace anaeingia kwenye first Eleven ya Man Utd
Sitaki kuamini eti W. Zaha akija United hapati nafasi kikosi cha kwanza
 
Mfano wako kwa Crystal Palace nikwamba waliingia kama Underdog ila wamepata matokeo sababu ilikua ni berby, hivyo ata United ni underdog kwa City ila wanaweza kufanya maajabu kwasababu ni berby?

Nyie mna kikosi kizuri pale EPL lakini pia Man Utd nao wana kikosi kizuri

Nyie hamna Classic 9 hata mmoja ila Man Utd wanao hao Classic 9 wawili (Rashford na Lukaku) kuperform isiwe hoja ila wapo vizuri tu sema wachezaji wao wakati mgumu huu. Derby huwa hazina Underdog hata siku moja
 
Sitaki kuamini eti W. Zaha akija United hapati nafasi kikosi cha kwanza

Zaha atamuweka nani Benchi? Zaha ni mchezaji msumbufu ambae hana End Product

Huyo Lukaku alifika bei ya Pauni milioni 75 kwa sababu ana End Product (misimu yote aliyokuwepo pale Everton Lukaku alifikisha goli 25 za ligi kila msimu). Ni matahira ambao watamnunua Zaha kwa bei ya hata pauni milioni 30
 
That's sure jamaa anajua akosi namba utd.

Hamna kitu kama hicho, mpira unachezwa kwa maana fulani nayo ni kushinda magoli na sio mbwembwe

Zaha hawezi kumweka benchi hata Lingard tu au Mata achilia mbali kina Lukaku na Martial
 
Back
Top Bottom