Heb mtaje mchezaji wakumuweka bench zaha utd kwa sasaZaha atamuweka nani Benchi? Zaha ni mchezaji msumbufu ambae hana End Product
Huyo Lukaku alifika bei ya Pauni milioni 75 kwa sababu ana End Product (misimu yote aliyokuwepo pale Everton Lukaku alifikisha goli 25 za ligi kila msimu). Ni matahira ambao watamnunua Zaha kwa bei ya hata pauni milioni 30
Heb mtaje mchezaji wakumuweka bench zaha utd kwa sasa
😂😂😂😂. Ndugu yangu kweli unaongea maneno kama haya? Apa akija ata shabiki wa man u kusoma atasema unawasanifuNyie mna kikosi kizuri pale EPL lakini pia Man Utd nao wana kikosi kizuri
Nyie hamna Classic 9 hata mmoja ila Man Utd wanao hao Classic 9 wawili (Rashford na Lukaku) kuperform isiwe hoja ila wapo vizuri tu sema wachezaji wao wakati mgumu huu. Derby huwa hazina Underdog hata siku moja
Mkuu kwa kikosi cha United cha sasa Zaha hakosi namba ata huyo Lukaku unaemuongelea kwa sasa lazima umuongelee kwa performance yake ya zamani sio sasa....Zaha atamuweka nani Benchi? Zaha ni mchezaji msumbufu ambae hana End Product
Huyo Lukaku alifika bei ya Pauni milioni 75 kwa sababu ana End Product (misimu yote aliyokuwepo pale Everton Lukaku alifikisha goli 25 za ligi kila msimu). Ni matahira ambao watamnunua Zaha kwa bei ya hata pauni milioni 30
😂😂😂😂. Ndugu yangu kweli unaongea maneno kama haya? Apa akija ata shabiki wa man u kusoma atasema unawasanifu
Numbisa
Cole Williams
ningendako
😂😂😂😂. Ndugu yangu kweli unaongea maneno kama haya? Apa akija ata shabiki wa man u kusoma atasema unawasanifu
Numbisa
Cole Williams
ningendako
Sawa kaka uo ni mtazamo wakoNdiyo, lazima ushangae
Manchester wana Forward yenye kipaji kuliko nyinyi+Chelsea+Arsenal+Tottenham
Hata Kane mwenyewe sio Classic 9
Kwa mtazamo huu inaonyesha huhitaji mabadiliko ya wachezaji utd sioNdiyo, lazima ushangae
Manchester wana Forward yenye kipaji kuliko nyinyi+Chelsea+Arsenal+Tottenham
Hata Kane mwenyewe sio Classic 9
Kwa mtazamo huu inaonyesha huhitaji mabadiliko ya wachezaji utd sio
Kushoto unapaona papo sawa kabisa?Pale waongezwe Winga wa kulia(Classic 7) viungo wawili au watatu na Beki za kutosha
Aya brotherPale waongezwe Winga wa kulia(Classic 7) viungo wawili au watatu na Beki za kutosha
Kushoto unapaona papo sawa kabisa?
Alaf mkuu nikumbushe lukaku anagoli ngap?
Naona dakika 20 zilizopita mmefungua mazungumzo na bayern kumtaka beki wao suleKushoto yupo Martial
Lukaku alipokuwa Everton alikuwa hakosi goli chini ya 25 za ligi kila msimu
Kwa takwimu hizo anaeweza kumtoa Lukaku hapo kwenye timu yenu ni Aguero tu na hakuna mwingine
Sure ila sio kwa sasa.Kushoto yupo Martial
Lukaku alipokuwa Everton alikuwa hakosi goli chini ya 25 za ligi kila msimu
Kwa takwimu hizo anaeweza kumtoa Lukaku hapo kwenye timu yenu ni Aguero tu na hakuna mwingine
Naona dakika 20 zilizopita mmefungua mazungumzo na bayern kumtaka beki wao sule
Hahah samahani ndugu yangu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hichi kidonda unavyokimwagia ndimu jwa fuujooo
Hahah samahani ndugu yangu