The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naona kwenye money rank man u anaongoza.
Na timu ilipo utadhani timu haiingizi kitu kwa muda
 
Ederson anastahili kuwa kipa wa mwaka.The way he play them passes when the forwads press.
Naona nikipa anaejiamini zaidi epl. pia mchezaji anaejiamini zaidi etihad.
 
Haha

Naomba utuwekee screenshot ya mwaka huu
Yan man u wanapata faida kubwa,wanawekeza sanaa.
Ila mafanikio kiduchu.

Tatizo wanakosa sport director,anyone guess who is the best player to buy.
 
Still pep is the best best coach.

Kwa jinsi jamaa anavyo develop players mpaka wanakuwa world class ni raha tupu.
 
Under pep players have become something uplifting on the pitch.
A model of fine fine coaching and shared endeavor.
This is not psg not a vehicle for bolt-on superstars not a story that starts with money buying success.
Every player in city team has been improved, some to a startling degree.
None of the current squad arrived as a world star. This is a team of Bernardo silva not Sanchez,
 

Zinchenko the latest player to be sponsored by puma in a new deal kit
 
The City leo tunausogelea ubingwa tena kama kawaida yetu kila game ni final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…