Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kwenye money rank man u anaongoza.
Na timu ilipo utadhani timu haiingizi kitu kwa muda
Mwaka huu itakuwa vituko.Haha
Naomba utuwekee screenshot ya mwaka huu
Yan man u wanapata faida kubwa,wanawekeza sanaa.Haha
Naomba utuwekee screenshot ya mwaka huu
Na bado kwa Ajax hachomokiHii ligi ya ajabu.
Spurs kafa kwake
Kwa upuuzi anaocheza ni kweliNa bado kwa Ajax hachomoki
Mapema sanaThe City leo tunausogelea ubingwa tena kama kawaida yetu kila game ni final
Tunacheza saa ngapi leo kaka goswe ..?Line up plz