Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
jifariji tu usipoongea sasa hivi utaongea lini tena..
mwisho wa siku najua utaanza kumlaumu Mancini tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jifariji tu usipoongea sasa hivi utaongea lini tena..
mwisho wa siku najua utaanza kumlaumu Mancini tu!
leo uwanjani
game: city v sporting
time: 23:00 PM
mungu ibariki europa mungu ibariki city..
Kila la heri jamani komaeni kama Chel5 walivyokamaa jana.
mkuu ndetichia hata mkitupiwa tujuze tu!
ntakuwa eapoti kuwa pokeeni baada ya kupewa kichapo athletico club..
....Sporting Lisbon won on away goal....
matokeo ya leo 3 - 3.....njooni tubanane EPL....
kila la kheri ndetichia, angalau mchukue europa.
Ivi ilikuwaje magoli mawili ya fasta ya Lisbon?! maana mgesonga mbele europa
Vipi tena yani Mancini kishakuwa mzee,na tutahakikisha tunabebwa ubingwa wetuuzembe wa mancini ndio umetukost anamuweka pizarro mapema tu kachemsha sijui vipi tu huyu mzee..
Vipi tena yani Mancini kishakuwa mzee,na tutahakikisha tunabebwa ubingwa wetu