The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Torres ali intend kufanya nini pale???? Stupid play... chance kama zile Drogba huwa hafanyi makosa ya kipuuzi kama yale
 
FT City 3 - 0 Chelsea kwani hilo ni goli la Y Toure..

chelsea hawana goli hapo
City 2 - 1 Chelski
 
Jaman Man city,hivi hii ndoo tutaiamishia mtaan kwetu kutoka mtaa wa pili OT
 
Back
Top Bottom