The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Poleni wanajamvi. Najaribu kutafakari kwa manufaa ya Asenali. Itakuaje pale timu mbili za juu zikapoteza michezo mi4 kati ya iliyobaki na kudroo mmoja na asenali wakashinda yote? Unajua nani atakua bingwa? Haha. Mungu saidia.
 
nimtazamo wako huo nao pia hatuupingi ni moja njia ya kujiriwadha...:hand::A S 13:
 
Poleni wanajamvi. Najaribu kutafakari kwa manufaa ya Asenali. Itakuaje pale timu mbili za juu zikapoteza michezo mi4 kati ya iliyobaki na kudroo mmoja na asenali wakashinda yote? Unajua nani atakua bingwa? Haha. Mungu saidia.

Mungu amekusaidia sana kwa hili hawezi kukusaidia
 
My God! City is cracking under pressure. Hawa jamaa hawachezi kama timu inayostahili ubingwa wa EPL. Labda msimu ujao baada ya sheik kumwaga pesa zaidi.
 
ndetichia mwenye sredi yake kasanda? Yani kikosi cha gharama vile alafu mnapoteza ubingwa kirahisi? Laiti kama Wenger angekua na option za mastriker na midfield kama nyinyi!
 
Sebastian-Larsson-Sunderland-Premier-League_2742373.jpg

Nicklas-Bendtner-Sunderland-Premier-League2_2742414.jpg

Nicklas-Bendtner-Sunderland-Premier-League3_2742434.jpg
 
ndetichia mwenye sredi yake kasanda? Yani kikosi cha gharama vile alafu mnapoteza ubingwa kirahisi? Laiti kama Wenger angekua na option za mastriker na midfield kama nyinyi!

Penye miti hapana wajenzi mkuu ila Man City nawapa angalau msimu mwingine wajifunze ku-handle pressure ya EPL hasa mechi za mwishoni ni ngumu sana hata ukiwa na kikosi imara.
 
wajenzi wapo lakini kinachoboa ni huyu muitali na upendeleo wake ndio katunyima kombe na kututoa sehemu muhimu..

city till i die
city 3 - 3 sandalend
 
thank you ankoli mfarisayo kwa picha za leo..

21 game bila ya kuloose what a club..

Bora unyamaze mkuu. The gunners walimaliza msimu mzima bila kufungwa. Wewe hujafungwa nyumbani tu ila ushacheze vichapo. Umesahau Sunderland ile 1-0, Everton 1-0 na week ijayo pale Emirates hutoki! Ni hayo tu
 
And what do you have to show for that? NOTHING!!! Not even the Carling cup. Halafu mnataka kujifananisha na Barcelona! You have a long way to go.
 
Bora unyamaze mkuu. The gunners walimaliza msimu mzima bila kufungwa. Wewe hujafungwa nyumbani tu ila ushacheze vichapo. Umesahau Sunderland ile 1-0, Everton 1-0 na week ijayo pale Emirates hutoki! Ni hayo tu

gunnerz ntawafunga goli moja tu hatasio mengi sababu wanadhani city ugenini ni mbovu..
 
Back
Top Bottom