The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

leo uwanjani
game: city v sporting
time: 23:00 PM

mungu ibariki europa mungu ibariki city..
 
.....hahaha......na Man City nao mdebwedo.....
nje ya Intertoto cup......aibuuuu
 
....Sporting Lisbon won on away goal....
matokeo ya leo 3 - 3.....njooni tubanane EPL....
 
Ivi ilikuwaje magoli mawili ya fasta ya Lisbon?! maana mgesonga mbele europa
 
huyu money chini atawakosti sana Man City nilisema mapema kwenye ligi watu wakapiga kelele sana na nasema tena baada ya msimu huu money chini ndio mwisho wake na ubingwa wa epl ni ndoto mpaka sasa inaweza timia na mkifanya kelele nyingi usingizi ukiruka na ndoto ndio hivyo tena
 
Tevez could be on bench on today's game against chelsea..
Yasijekuwa yale ya swansea..

Source: goal.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…