Kwenye hizo tim zenu za asili rudin nyie (hasa hasa wewe)hiki kikundi chetu humu naona kimevurugika kabisa tumerud kwenye timu zetu za asili [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa hawapo kabisa na mbaya zaidi hawana permanent address cjui tutawapata wapi wallah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubora wa Pep umepungua na anaonekana kakata tamaa hajui afanye lipi kwasasa, namuona next season akirudi Camp NouKwenye hizo tim zenu za asili rudin nyie (hasa hasa wewe)
Once a skyblue, always a skyblue
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kikundi ni muda muafaka sasa kirudi ktk timu zao za asili, huyo Pep mbinu zake za pasi nyingi wahuni washazinyaka, wahuni sio watuKikundi cha wanywa kongo cha makambako
Umeona ee.Hiki kikundi ni muda muafaka sasa kirudi ktk timu zao za asili, huyo Pep mbinu zake za pasi nyingi wahuni washazinyaka, wahuni sio watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye ubongo mdogo bwna.Umeona ee.
Jana kapaki bus kwa mara ya kwanza na bado kala kichapo hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia City match zake ambazo hupewa red card almost zote hushinda. Halafu red card ni uzembe wako na si vinginevyo.Watu wenye ubongo mdogo bwna.
Yaani unapigana na mgonjwa unajisifu umemdhibiti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa jamaa walichekesha sanaHili la 3 ni lenu mtakayo kuwa mnajifunga hatuyahesabu leo kitaeleweka tu na iwe isiwe mtatuelewa tu kazi ndo kwanza imeanza.
Sent using Jamii Forums mobile app