The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Watu wenye ubongo mdogo bwna.
Yaani unapigana na mgonjwa unajisifu umemdhibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia City match zake ambazo hupewa red card almost zote hushinda. Halafu red card ni uzembe wako na si vinginevyo.

Mkuu kuwa na Ubongo mkubwa sio kwamba ndio una akili saaaaaana. Sana utakuwa na tatizo la mgongo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha
IMG_20191230_232754.jpeg


Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Back
Top Bottom