kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
majukumu tu mzee
tukuona baadaeMan city atakula nyingi sana
Madrid akimfunga man city mimi namtoa sadaka mke wangu apigwe susa.Hivi nyie wakimbizi mliotokea Liverpool mmejiandaa kisaikolojia leo?
Mmeona mwenzenu daraja bovu alichofanyiwa usiku wa Jana mjiandae mwenzio akinyolewa za kwako tia maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Madrid akimfunga man city mimi namtoa sadaka mke wangu apigwe susa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani kuna mtu kang'oa jinoPep Guardiola ana kibarua kizito sana cha kumreplace David Silva
DeBruyne akishadhibitiwa timu yote inapoteana
Pengo la David Silva ni dhahiri shahiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Pep Guardiola ana kibarua kizito sana cha kumreplace David Silva
DeBruyne akishadhibitiwa timu yote inapoteana
Pengo la David Silva ni dhahiri shahiri
Sent using Jamii Forums mobile app
naona leo schoolkid varverde kamthibiti kabisa KDBPep Guardiola ana kibarua kizito sana cha kumreplace David Silva
DeBruyne akishadhibitiwa timu yote inapoteana
Pengo la David Silva ni dhahiri shahiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mfumo wa "kujilinda" alioanza nao Pep mwanzoni mwa mchezo ndio ulowapa nafasi Real kumdhibiti KDB. Alipoamua "kushambulia" aliwapa Real mchezaji wa kum-mark (Sterling) na hivyo kumfanya KDB kuwaletea matatizo.