MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Poleni wanajamvi. Najaribu kutafakari kwa manufaa ya Asenali. Itakuaje pale timu mbili za juu zikapoteza michezo mi4 kati ya iliyobaki na kudroo mmoja na asenali wakashinda yote? Unajua nani atakua bingwa? Haha. Mungu saidia.

Mungu amekusaidia sana kwa hili hawezi kukusaidia
My God! City is cracking under pressure. Hawa jamaa hawachezi kama timu inayostahili ubingwa wa EPL. Labda msimu ujao baada ya sheik kumwaga pesa zaidi.
bora umeliona hilo shabiki wa siku za ushindi tu mkifungwa mnapotea kabisaaaaa....
ndetichia mwenye sredi yake kasanda? Yani kikosi cha gharama vile alafu mnapoteza ubingwa kirahisi? Laiti kama Wenger angekua na option za mastriker na midfield kama nyinyi!
Penye miti hapana wajenzi mkuu ila Man City nawapa angalau msimu mwingine wajifunze ku-handle pressure ya EPL hasa mechi za mwishoni ni ngumu sana hata ukiwa na kikosi imara.
wapi ndetichia!?
thank you ankoli mfarisayo kwa picha za leo..
21 game bila ya kuloose what a club..

Bora unyamaze mkuu. The gunners walimaliza msimu mzima bila kufungwa. Wewe hujafungwa nyumbani tu ila ushacheze vichapo. Umesahau Sunderland ile 1-0, Everton 1-0 na week ijayo pale Emirates hutoki! Ni hayo tu