The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Aibu kwa pep kuidharua chelses
 
Arsenal nimewapa jina la KONDOO
Manchester united jina la NYUMBU

kuanzia leo nyie NGURUWE
Papaa Gx Pamoja na refa kuwabeba Leo still wamefungwa ile penalty ilikuwa sio na Mungu alivyo fundi Aguero akakosa penalty, goal la sterling limetokana na Gabriel Jesus kumchezea foul christensen
 
Leo umeamua uweke ushabiki pembeni au sio
 
[emoji23][emoji23] Yule pimbi na mpata.
Ila nadhan mmemsahau mtu kama mahrez, KDB, FODEN, GUNDOGAN, DIAZ, STONES, ZINCHENKO na kipa wangu EDERSON
ambao niliwapumzisha mechi ya FA
Leo sisi man City tumefungwa, lawama tumpe nani.?
 
Huu ndio ushabiki wa mpira sasa, na usirudi tena kwenye jukwaa la chelsea mana sisi sio size yenu
 
Aguero najua huko aliko anajua alichofanya...

Tunatikwa kufocus game inayokuja kumalizana na EPL ..

Alichofanya Chelsea ni sawa na mwanafunzi kupata division one kwenye mtihani wa mock ,huku maandalizi ya necta yakiendelea ..

Pep ananafasi nyingine tene kudhihilisha uwezo wake mbele ya TT ...


Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kuliko kupoteza final uefa ..

Hope pep amejifunza ,anajua cha kwenda kufanya ..


ila why anaanza na watu kama

Ake, Mendy ,aguero ,sterling ,jesus ..



Hio ndio walipoteza dhidi ya FA ...
 
Tatizo una maneno mengi sana mzee, tukutane UCL
 
Akili zimeanza kurudi mdogo mdogo
 
Naona unaleta visingizio, kufungwa kufungwa tuu mkuu
 
Mkuu hawa NGURUWE kuna mda niliwauliza kuwa je, wamepata mbinu za ku unlock defense ya Chelsea? Wakabaki wana Jamba Jamba tu hapa, tizama wakiwa na mpira hawajui wafanye nn kazi kupiga piga pasi tu bila mbinu za kutafuta goli. Kisha itizame Chelsea wakipata mpira ni dakika sifuri wako golini kwako wakitaka goli tumetengeneza nafasi nyingi sana ni basi tu zile offside zimetuua.

Nacho shukuru kwa sasa hawa nguruwe wameanza kuwa na heshima kwetu sisi, ule mtindo walikuwa wanatupigia pasi golini kwetu hawana kabisa. Saizi eti na wao wanajilinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Papaa Gx Pamoja na refa kuwabeba Leo still wamefungwa ile penalty ilikuwa sio na Mungu alivyo fundi Aguero akakosa penalty, goal la sterling limetokana na Gabriel Jesus kumchezea foul christensen
 
Kwani hao alionza nao ni wachezaji wa stoke cty?
 
We kweli huna akili, Kwan hao sio wachezaji wenu? Unataka wakacheze wap zaidi ya hapo?
 
Kwani hao alionza nao ni wachezaji wa stoke cty?
Sawa anajua alikuwa anawaonesha namna gani CL hawapangi ,kuna media zilikuwa zinawapa kichwa kuwa aguero ,sterling hawapewi nafas CL so ameamua kutua lawama ...

Mahrez

KDB

Foden

Gundo

Zincheko

Stone,

Wanamwunganiko mzuri kuzid kikosi kilichoanza ,..

Anyway hii match haina madhara kwetu ,ila imeturudisha darasan ...


Huenda tungeshinda ,MTU kama aguero ,streling ,ake tungewaona final ,kitu ambacho ingekuwa hatari zaidi ..

Come on city
 
Wamerudishaje hawa
A
Kikos cha PSG ndio ilibid akipange leo de bruyne apige namba 9 pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…