Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu kwa pep kuidharua chelsesAlways pep rotation lose ..
Hatutaweza kufanya chochote kwa wachezaji kama aguero ,sterling ,Jesus Mendy ,shit player ambao wapo wapo tu ..
Pep asipofanya kazi ya ziada ,Chelsea atastahili kuchukua uefa ,..
No more comment
Chelsea walistahili ushindi this game
FA lose
EPL lose
Uefa ???
Papaa Gx Pamoja na refa kuwabeba Leo still wamefungwa ile penalty ilikuwa sio na Mungu alivyo fundi Aguero akakosa penalty, goal la sterling limetokana na Gabriel Jesus kumchezea foul christensenArsenal nimewapa jina la KONDOO
Manchester united jina la NYUMBU
kuanzia leo nyie NGURUWE
wewe huna akili kabisa utampangia mtu team ya kushabikia? je kama kaanza kushabikia ukubwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeamua uweke ushabiki pembeni au sioAlways pep rotation lose ..
Hatutaweza kufanya chochote kwa wachezaji kama aguero ,sterling ,Jesus Mendy ,shit player ambao wapo wapo tu ..
Pep asipofanya kazi ya ziada ,Chelsea atastahili kuchukua uefa ,..
No more comment
Chelsea walistahili ushindi this game
FA lose
EPL lose
Uefa ???
Leo sisi man City tumefungwa, lawama tumpe nani.?[emoji23][emoji23] Yule pimbi na mpata.
Ila nadhan mmemsahau mtu kama mahrez, KDB, FODEN, GUNDOGAN, DIAZ, STONES, ZINCHENKO na kipa wangu EDERSON
ambao niliwapumzisha mechi ya FA
Huu ndio ushabiki wa mpira sasa, na usirudi tena kwenye jukwaa la chelsea mana sisi sio size yenuAlways pep rotation lose ..
Hatutaweza kufanya chochote kwa wachezaji kama aguero ,sterling ,Jesus Mendy ,shit player ambao wapo wapo tu ..
Pep asipofanya kazi ya ziada ,Chelsea atastahili kuchukua uefa ,..
No more comment
Chelsea walistahili ushindi this game
FA lose
EPL lose
Uefa ???
Sawa mkuu nimerudi baada ya dkk 90, nieleze kilichotokea uwanjaniMkuu punguza maneno njoo baada ya tisini kuisha ili ushukuru au ualalamike
Tatizo una maneno mengi sana mzee, tukutane UCLUnaonaekana namna gani ulivo mweupe kichwan ,huna unalolijua kuhusu mpira ..
Unaonesha ujinga wako hadharani mkuu pole sana ..
Kwanini lakin unajivua nguo mbele ya kadamnasi namna hii ..
Kwamba man city haina fans ? Huoni kama wewe ndio kilaza ? Huoni mkuu ...!!!!
Always pep rotation lose ..
Hatutaweza kufanya chochote kwa wachezaji kama aguero ,sterling ,Jesus Mendy ,shit player ambao wapo wapo tu ..
Pep asipofanya kazi ya ziada ,Chelsea atastahili kuchukua uefa ,..
No more comment
Chelsea walistahili ushindi this game
FA lose
EPL lose
Uefa ???
Naona unaleta visingizio, kufungwa kufungwa tuu mkuuAguero najua huko aliko anajua alichofanya...
Tunatikwa kufocus game inayokuja kumalizana na EPL ..
Alichofanya Chelsea ni sawa na mwanafunzi kupata division one kwenye mtihani wa mock ,huku maandalizi ya necta yakiendelea ..
Pep ananafasi nyingine tene kudhihilisha uwezo wake mbele ya TT ...
Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kuliko kupoteza final uefa ..
Hope pep amejifunza ,anajua cha kwenda kufanya ..
ila why anaanza na watu kama
Ake, Mendy ,aguero ,sterling ,jesus ..
Hio ndio walipoteza dhidi ya FA ...
Papaa Gx Pamoja na refa kuwabeba Leo still wamefungwa ile penalty ilikuwa sio na Mungu alivyo fundi Aguero akakosa penalty, goal la sterling limetokana na Gabriel Jesus kumchezea foul christensen
Kwani hao alionza nao ni wachezaji wa stoke cty?Aguero najua huko aliko anajua alichofanya...
Tunatikwa kufocus game inayokuja kumalizana na EPL ..
Alichofanya Chelsea ni sawa na mwanafunzi kupata division one kwenye mtihani wa mock ,huku maandalizi ya necta yakiendelea ..
Pep ananafasi nyingine tene kudhihilisha uwezo wake mbele ya TT ...
Kupoteza hii match ni nzuri zaidi kuliko kupoteza final uefa ..
Hope pep amejifunza ,anajua cha kwenda kufanya ..
ila why anaanza na watu kama
Ake, Mendy ,aguero ,sterling ,jesus ..
Hio ndio walipoteza dhidi ya FA ...
Aguero najua huko aliko anajua alichofanya...

Sawa anajua alikuwa anawaonesha namna gani CL hawapangi ,kuna media zilikuwa zinawapa kichwa kuwa aguero ,sterling hawapewi nafas CL so ameamua kutua lawama ...Kwani hao alionza nao ni wachezaji wa stoke cty?
AWamerudishaje hawa
Kikos cha PSG ndio ilibid akipange leo de bruyne apige namba 9 paleAguero najua huko aliko anajua alichofanya...