The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Na mechi ijayo ya EPL dhidi ya Newcastle iwe kama fainali. Pep asilete ujinga wa kuanzisha kikosi B. Aweke full kikosi. Mambo yanaweza kwama kwa mechi 2 zinazofuatia.
 
ubunif unaouzungumzia ww ni upi wa kutengeza nafas za magoli au ubunif gan mzeee..!!
 
Alichokifanya Pep sio kwamba alitaka kupoteza ila ni uwoga mbele ya TT, anamuelewa kwamba ni kocha wa technical sana sio rahisi kufungika Pep alijua tayal TT kashamsoma so alichokifanya ni kabilisha kikosi kujaribu kumhadaa TT hyo plan iliferi

TT ni kocha wa mbinu sana kulingana na game inayoendelea, km uliangalia game second half chelsea ilibadilika na kudominate mchezo baada tu ya kumsoma Pep,

CL itakua gemu ngumu kwa timu zote mbili still credit zangu nawapa chelsea na km ulivosema pep kapata funzo na uwoga wake utamponza
 
Naamin pep sio muoga ..

Angekuwa anaogopa game asingechezesha Mtu kama

Mendy wakati yupo zincheko ambaye kaperfom vizur PSG

Sterling wakat foden yupo


Jesus wakat kdb yupo

Aguero wakat mahrezi yupo

Stefan wakat ederson yupo

Ake wakat walker yupo

Laporte wakat stone yupo


Torres wakat bernedo Silva yupo ...


Kiufupi pep sijui alitaka nini ,kuweka bench watu kama hao then anataka ushindii ...


Any way ngonja tusubili final ...
 
ubunif unaouzungumzia ww ni upi wa kutengeza nafas za magoli au ubunif gan mzeee..!!

Gundogun ---- Rodrigo ------Bernardo Silva

Foden --------KDB----------mahrez


Hao watu ndio wanafanyaga pressing ya kutosha city ,ukiona uwanjan unainama ujue kuna hao viungo ,wanashambulia wanarudi nyuma ,wanayengeneza nafasi ...



Ukiona hawa


Frenandihno ----Rodrigo ---Torres

Jesus ------aguero -----sterling


Hawa wanatumja long ball ,hawanauwezo wa pressing ,MTU kama aguero anasibili atelezeshewe mpira ndio afunge ...

Ndio maana hata lile goli la kwanza dhid ya Chelsea ,na pelnalt ilikuwa long ball effect ,na sio pressing hadi kwenye goli LA Chelsea ...


Tatizo LA kufungwa Mara mbili mfululizo na Chelsea ni rotation hakuna kingine ...


Game ya FA ,tulitoka kumfunga Dortmund uefa ,pep akapumzisha key player waliocheza uefa ,ukiona kilichotokea ...


Game EPL pep karudia Yale yle tena waliocheza PSG wamekaa bench maksud ,bila kujali tunaenda kupoteza game ...

Naamani bado tunanafasi kubwa tu UCL ,hao chelsea waendelee kutembelea historia za 2012 wakati sisi tupo 2021 ...

Kama drogba ataingia na kufunga dakika za mwisho sawa ,...
 
Eeee Drogba ataingia na kufunga dakika za mwisho.
 
Endapo Chelsea itafanikiwa kuchukua kombe la UEFA na FA basi kwa msimu huu itakuwa imepata mafanikio makubwa kuliko Man City.
Hata hivo chelsea haifungiki ni timu kubwa sana hapa dunian ,ilitakiwa kuchukua makombe yote

EPL ,serial A,laliga ,CL hadi VPL ...
 
Lecister city najua Leo ataucheza mpira mwingi sana ,hawezi kukubali kutoka top 4 dakika za mwisho namna hii ...



United akipoteza tu tayar ubingwa EPL


Come on city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…