Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Watu kama nyie mkiambiwa hamna akili mnaanza kulalamika, hivi unafikiri mpira ni kuropoka ropoka tu unavyo jisikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mechi ijayo ya EPL dhidi ya Newcastle iwe kama fainali. Pep asilete ujinga wa kuanzisha kikosi B. Aweke full kikosi. Mambo yanaweza kwama kwa mechi 2 zinazofuatia.Hii game imempa funzo pep ..
Hata yeye anajua kabisa ,ni bora kupoteza hii game kuliko tungefungwa final ,...
Mpaka sasa wachezeji wenyewe wameshajijua kuwa mtu kama mendy ,ake ,sterling ,aguero hawana uwezo tena wa kutupa CL ,wamepoteza FA sasa EPL ..
Hizo media zilizokuwa zinamponda pep kuwa aguero ni legend ,hapewi muda CL ,nadhan watakuwa wameona wenyewe ...
Tumalize EPL kwanza
Come on city
ubunif unaouzungumzia ww ni upi wa kutengeza nafas za magoli au ubunif gan mzeee..!!Mkuu huo ndio ukweli ,Chelsea ni timu inacheza kwa morali tu ,takwimu hazidanganyi ,tukiweka hapa uwezo na ubunifu wa wachezaji uwanjan ,utaona namna gani city ni timu kubwa tu ..
Hao Chelsea wanasubili bahati ,kama ilivokawaida ya football kutusuprise ,ila mengine yote hakuan wanalotushinda ..
Alichokifanya Pep sio kwamba alitaka kupoteza ila ni uwoga mbele ya TT, anamuelewa kwamba ni kocha wa technical sana sio rahisi kufungika Pep alijua tayal TT kashamsoma so alichokifanya ni kabilisha kikosi kujaribu kumhadaa TT hyo plan iliferiHii game imempa funzo pep ..
Hata yeye anajua kabisa ,ni bora kupoteza hii game kuliko tungefungwa final ,...
Mpaka sasa wachezeji wenyewe wameshajijua kuwa mtu kama mendy ,ake ,sterling ,aguero hawana uwezo tena wa kutupa CL ,wamepoteza FA sasa EPL ..
Hizo media zilizokuwa zinamponda pep kuwa aguero ni legend ,hapewi muda CL ,nadhan watakuwa wameona wenyewe ...
Tumalize EPL kwanza
Come on city
Naamin pep sio muoga ..Alichokifanya Pep sio kwamba alitaka kupoteza ila ni uwoga mbele ya TT, anamuelewa kwamba ni kocha wa technical sana sio rahisi kufungika Pep alijua tayal TT kashamsoma so alichokifanya ni kabilisha kikosi kujaribu kumhadaa TT hyo plan iliferi
TT ni kocha wa mbinu sana kulingana na game inayoendelea, km uliangalia game second half chelsea ilibadilika na kudominate mchezo baada tu ya kumsoma Pep,
CL itakua gemu ngumu kwa timu zote mbili still credit zangu nawapa chelsea na km ulivosema pep kapata funzo na uwoga wake utamponza
ubunif unaouzungumzia ww ni upi wa kutengeza nafas za magoli au ubunif gan mzeee..!!
Eeee Drogba ataingia na kufunga dakika za mwisho.Gundogun ---- Rodrigo ------Bernardo Silva
Foden --------KDB----------mahrez
Hao watu ndio wanafanyaga pressing ya kutosha city ,ukiona uwanjan unainama ujue kuna hao viungo ,wanashambulia wanarudi nyuma ,wanayengeneza nafasi ...
Ukiona hawa
Frenandihno ----Rodrigo ---Torres
Jesus ------aguero -----sterling
Hawa wanatumja long ball ,hawanauwezo wa pressing ,MTU kama aguero anasibili atelezeshewe mpira ndio afunge ...
Ndio maana hata lile goli la kwanza dhid ya Chelsea ,na pelnalt ilikuwa long ball effect ,na sio pressing hadi kwenye goli LA Chelsea ...
Tatizo LA kufungwa Mara mbili mfululizo na Chelsea ni rotation hakuna kingine ...
Game ya FA ,tulitoka kumfunga Dortmund uefa ,pep akapumzisha key player waliocheza uefa ,ukiona kilichotokea ...
Game EPL pep karudia Yale yle tena waliocheza PSG wamekaa bench maksud ,bila kujali tunaenda kupoteza game ...
Naamani bado tunanafasi kubwa tu UCL ,hao chelsea waendelee kutembelea historia za 2012 wakati sisi tupo 2021 ...
Kama drogba ataingia na kufunga dakika za mwisho sawa ,...
Sawa arjen roben atakosa tena penalty mkuu ..Eeee Drogba ataingia na kufunga dakika za mwisho.
Hapana ni wa Leicester cityKwani hao alionza nao ni wachezaji wa stoke cty?
City ni timu mbovu?Hakuna mziki pale
Ww kuzifunga timu mbovu mbovu ndo unaongea hv
Napita tu.[emoji123][emoji123]Huyo kante wenu atafichwa hiyo jumamosi.. ..mpeni tu sifa [emoji2]
Man city bingwa
Villareal bingwa
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
City naona bado mnajadili?View attachment 1775630mliocheza nao jana.. Asa mnashindwa nini kushinda hapo
Timu mbovu ndio lakin tunaenda kunyanyua EPL ...City ni timu mbovu siku izi!!!!
Timu mbovu ndio lakin tunaenda kunyanyua EPL ...
Vip nyie chelsea .!
Hata hivo chelsea haifungiki ni timu kubwa sana hapa dunian ,ilitakiwa kuchukua makombe yoteEndapo Chelsea itafanikiwa kuchukua kombe la UEFA na FA basi kwa msimu huu itakuwa imepata mafanikio makubwa kuliko Man City.
Hata hivo chelsea haifungiki ni timu kubwa sana hapa dunian ,ilitakiwa kuchukua makombe yote
EPL ,serial A,laliga ,CL hadi VPL ...
Vip hamjiamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We akili huna