The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Watu wazima wanashabikia timu ya 2012[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lecister city najua Leo ataucheza mpira mwingi sana ,hawezi kukubali kutoka top 4 dakika za mwisho namna hii ...

United akipoteza tu tayar ubingwa EPL

Come on city
Maplaatic fans bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wazima wanashabikia timu ya 2012[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Level zako ni villarial ,huna ubavu wa kusogea CL wewe takataka ....

Wanaume tunaenda kutetemesha dunia may 29 ...

Wewe mbwa utakuwa unacheza futuhi ...

Yaani umeongea vzr sn. Na ata kabla ya game Thomas Tuchel alisema wazi kabisa kuwa anatambua kuwa City watakuwa na mabadiliko ya wachezaji lkn wao kz yao ni kukabiliana nao tu. Wakifanya mabadiliko au la wao ni kukabiliana nao tu. Na ndicho alichofanya....
 
Unamwambia nan wakat mpo wawili humu msiojielewa
Kubishana na MTU wa nyumbu ni matumiza mabaya ya akili ...

Mimi nakaa meza moja na buyern ,PSG ,Madrid ,..

Wewe takataka endelea kupambana na Roma ,Genk ,Salzburg,...

Unaenda kuchaza final ,haina hata mvuto et villarial[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Final ya hovyo kabisa ambayo haijawahi tokea dunian ,..

Nahisi viingilio itakuwa bure ...

Siwezi poteza muda Mimi kuangalia nyumbu zikiwa zinacheza na kenge ...

Yaan vilaza kwa vilaza wanacheza ....
 
Chelsea nayo ilipumzisha wachezaji watano... Meson hakucheza, Kai, Thiago, Ben Chilwell na Jorginho... Nyie mlifanya mabadiliko 9 Chelsea ilifanya matano.

Ata hivo nakuambia Leo. Hao kina Gundogan, Rodrigo, Bernardo Silva, Mahrez KDB na Foden hawana makali yoyote. Hawa dawa yao imeshaandaliwa tayari yaani tarehe 29 watakuwa wanapiga back pass tu na kuzunguka zunguka uwanjani.
 
sasa ww mtoto wa juzi uliyejua mpira mwaka 2014 kupitia kubeti huwezi ongea kitu ukasikilizwa maana reality ww ni plastics fan bado hujakuwa matured ..[emoji23]
 
Level zako ni villarial ,huna ubavu wa kusogea CL wewe takataka ....

Wanaume tunaenda kutetemesha dunia may 29 ...

Wewe mbwa utakuwa unacheza futuhi ...

View attachment 1780736
Me nimeshachukua mara tatu naww chukua zifike tatu ..sawa mdogo angu .nina uhakika haujawahi kuiona man utd ikibeba uefa Sababu umejua mpira mwaka 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Lecister city najua Leo ataucheza mpira mwingi sana ,hawezi kukubali kutoka top 4 dakika za mwisho namna hii ...

United akipoteza tu tayar ubingwa EPL

Come on city
Leicester City kutoka top four hiyo ni lazima. Leo akipona sn ni sare lkn lazima afungwe.

Na j4 wiki ijayo atafungwa tena na Chelsea... Yaani lazima atoke top four
 
sasa ww mtoto wa juzi uliyejua mpira mwaka 2014 kupitia kubeti huwezi ongea kitu ukasikilizwa maana reality ww ni plastics fan bado hujakuwa matured ..[emoji23]
Bora Mimi 2014 ,wewe takataka umeijua man u 2020

Kojoa kalale dogo ..

Huna nafasi ya kuongea na EPL winner
 
Me nimeshachukua mara tatu naww chukua zifike tatu ..sawa mdogo angu .nina uhakika haujawahi kuiona man utd ikibeba uefa Sababu umejua mpira mwaka 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sisi tupo 2021 unaleta mambo ya 90s wewe kama sio takataka ni nan ..
 
Bora Mimi 2014 ,wewe takataka umeijua man u 2020

Kojoa kalale dogo ..

Huna nafasi ya kuongea na EPL winner
Dogo ukweli ndio huo shabiki yoyte wa man shit Ni dogo kiumri au Ni plastic fan liliojificha man shit nadhani sasa Ni muda wa ww kujitambua na ukubali kama nimeanza ushabiki plastic 2014 .[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora Mimi 2014 ,wewe takataka umeijua man u 2020

Kojoa kalale dogo ..

Huna nafasi ya kuongea na EPL winner
Nina uhakika hujawahi kuiona united ikibeba kombe la Epl Sababu umeanza ushabiki kupitia betting mwaka 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi tupo 2021 unaleta mambo ya 90s wewe kama sio takataka ni nan ..
We dogo kweli kiazi pia hujui last time United kabeba uefa eti miaka ya tisini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira umeujua kupitia game za play station huko PS[emoji23][emoji23][emoji23]plus betting [emoji23][emoji23]
 
Dogo ukweli ndio huo shabiki yoyte wa man shit Ni dogo kiumri au Ni plastic fan liliojificha man shit nadhani sasa Ni muda wa ww kujitambua na ukubali kama nimeanza ushabiki plastic 2014 .[emoji23][emoji23][emoji23]
Pitaa kishoto kijana ...

Tupo tunashona suti za EPL na CL ..

Wewe endelea kutembea na historia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…