Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maplaatic fans bhana [emoji23][emoji23][emoji23]Lecister city najua Leo ataucheza mpira mwingi sana ,hawezi kukubali kutoka top 4 dakika za mwisho namna hii ...
United akipoteza tu tayar ubingwa EPL
Come on city
Unamwambia nan wakat mpo wawili humu msiojielewaLeo man utd akipoteza tunatangaza ubingwa wakuu
Njoo tukuajili uwe unafua boxer za zincheko wewe kilaza ...Maplaatic fans bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Level zako ni villarial ,huna ubavu wa kusogea CL wewe takataka ....Watu wazima wanashabikia timu ya 2012[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani umeongea vzr sn. Na ata kabla ya game Thomas Tuchel alisema wazi kabisa kuwa anatambua kuwa City watakuwa na mabadiliko ya wachezaji lkn wao kz yao ni kukabiliana nao tu. Wakifanya mabadiliko au la wao ni kukabiliana nao tu. Na ndicho alichofanya....Alichokifanya Pep sio kwamba alitaka kupoteza ila ni uwoga mbele ya TT, anamuelewa kwamba ni kocha wa technical sana sio rahisi kufungika Pep alijua tayal TT kashamsoma so alichokifanya ni kabilisha kikosi kujaribu kumhadaa TT hyo plan iliferi
TT ni kocha wa mbinu sana kulingana na game inayoendelea, km uliangalia game second half chelsea ilibadilika na kudominate mchezo baada tu ya kumsoma Pep,
CL itakua gemu ngumu kwa timu zote mbili still credit zangu nawapa chelsea na km ulivosema pep kapata funzo na uwoga wake utamponza
Kubishana na MTU wa nyumbu ni matumiza mabaya ya akili ...Unamwambia nan wakat mpo wawili humu msiojielewa
Chelsea nayo ilipumzisha wachezaji watano... Meson hakucheza, Kai, Thiago, Ben Chilwell na Jorginho... Nyie mlifanya mabadiliko 9 Chelsea ilifanya matano.Gundogun ---- Rodrigo ------Bernardo Silva
Foden --------KDB----------mahrez
Hao watu ndio wanafanyaga pressing ya kutosha city ,ukiona uwanjan unainama ujue kuna hao viungo ,wanashambulia wanarudi nyuma ,wanayengeneza nafasi ...
Ukiona hawa
Frenandihno ----Rodrigo ---Torres
Jesus ------aguero -----sterling
Hawa wanatumja long ball ,hawanauwezo wa pressing ,MTU kama aguero anasibili atelezeshewe mpira ndio afunge ...
Ndio maana hata lile goli la kwanza dhid ya Chelsea ,na pelnalt ilikuwa long ball effect ,na sio pressing hadi kwenye goli LA Chelsea ...
Tatizo LA kufungwa Mara mbili mfululizo na Chelsea ni rotation hakuna kingine ...
Game ya FA ,tulitoka kumfunga Dortmund uefa ,pep akapumzisha key player waliocheza uefa ,ukiona kilichotokea ...
Game EPL pep karudia Yale yle tena waliocheza PSG wamekaa bench maksud ,bila kujali tunaenda kupoteza game ...
Naamani bado tunanafasi kubwa tu UCL ,hao chelsea waendelee kutembelea historia za 2012 wakati sisi tupo 2021 ...
Kama drogba ataingia na kufunga dakika za mwisho sawa ,...
sasa ww mtoto wa juzi uliyejua mpira mwaka 2014 kupitia kubeti huwezi ongea kitu ukasikilizwa maana reality ww ni plastics fan bado hujakuwa matured ..[emoji23]Kubishana na MTU wa nyumbu ni matumiza mabaya ya akili ...
Mimi nakaa meza moja na buyern ,PSG ,Madrid ,..
Wewe takataka endelea kupambana na Roma ,Genk ,Salzburg,...
Unaenda kuchaza final ,haina hata mvuto et villarial[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Final ya hovyo kabisa ambayo haijawahi tokea dunian ,..
Nahisi viingilio itakuwa bure ...
Siwezi poteza muda Mimi kuangalia nyumbu zikiwa zinacheza na kenge ...
Yaan vilaza kwa vilaza wanacheza ....
Me nimeshachukua mara tatu naww chukua zifike tatu ..sawa mdogo angu .nina uhakika haujawahi kuiona man utd ikibeba uefa Sababu umejua mpira mwaka 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Level zako ni villarial ,huna ubavu wa kusogea CL wewe takataka ....
Wanaume tunaenda kutetemesha dunia may 29 ...
Wewe mbwa utakuwa unacheza futuhi ...
View attachment 1780736
Leicester City kutoka top four hiyo ni lazima. Leo akipona sn ni sare lkn lazima afungwe.Lecister city najua Leo ataucheza mpira mwingi sana ,hawezi kukubali kutoka top 4 dakika za mwisho namna hii ...
United akipoteza tu tayar ubingwa EPL
Come on city
Bora Mimi 2014 ,wewe takataka umeijua man u 2020sasa ww mtoto wa juzi uliyejua mpira mwaka 2014 kupitia kubeti huwezi ongea kitu ukasikilizwa maana reality ww ni plastics fan bado hujakuwa matured ..[emoji23]
Sisi tupo 2021 unaleta mambo ya 90s wewe kama sio takataka ni nan ..Me nimeshachukua mara tatu naww chukua zifike tatu ..sawa mdogo angu .nina uhakika haujawahi kuiona man utd ikibeba uefa Sababu umejua mpira mwaka 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Dogo ukweli ndio huo shabiki yoyte wa man shit Ni dogo kiumri au Ni plastic fan liliojificha man shit nadhani sasa Ni muda wa ww kujitambua na ukubali kama nimeanza ushabiki plastic 2014 .[emoji23][emoji23][emoji23]Bora Mimi 2014 ,wewe takataka umeijua man u 2020
Kojoa kalale dogo ..
Huna nafasi ya kuongea na EPL winner
Kama wewe ulimuweka hapo ,utamtoa ..!Leicester City kutoka top four hiyo ni lazima. Leo akipona sn ni sare lkn lazima afungwe.
Na j4 wiki ijayo atafungwa tena na Chelsea... Yaani lazima atoke top four
Nina uhakika hujawahi kuiona united ikibeba kombe la Epl Sababu umeanza ushabiki kupitia betting mwaka 2014[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora Mimi 2014 ,wewe takataka umeijua man u 2020
Kojoa kalale dogo ..
Huna nafasi ya kuongea na EPL winner
We dogo kweli kiazi pia hujui last time United kabeba uefa eti miaka ya tisini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira umeujua kupitia game za play station huko PS[emoji23][emoji23][emoji23]plus betting [emoji23][emoji23]Sisi tupo 2021 unaleta mambo ya 90s wewe kama sio takataka ni nan ..
Pitaa kishoto kijana ...Dogo ukweli ndio huo shabiki yoyte wa man shit Ni dogo kiumri au Ni plastic fan liliojificha man shit nadhani sasa Ni muda wa ww kujitambua na ukubali kama nimeanza ushabiki plastic 2014 .[emoji23][emoji23][emoji23]