Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hao wote tunawapelekea moto kama psg..!Bila Christensen kuchezewa rafu ulikuwa unapigwa 2 bila. Unavunga hujui wakati michezaji yenu ilikuwa inatembea tembea tu bila kujua ifanye nn ipate goli
Pep aliamua kufungwa game hio ,ndio maana akaweka wababishaji kina sterling ..
Hio ni mind game ,kuwavimbisha nyie ili mtudharau ,huku tumeficha mabomu ya nyukria nyuma ,...
Mkija final mtakula kipigo cha mbwa koko nyie ....
Come on cityzen
Hao wote tunawapelekea moto kama psg..!
Mwenzio anajaza pumba coment humu ndio lengo lake maana uzi umedoda huu....We jamaa huwa unaropoka kama unasokomezwa ukuni, eti kufugwa mara mbili ni mbinu. We NGURUWE ndio maana nakwambia huna akili kabisa, kwahiyo pep alipeleka kikosi chake akiwa anajua atafungwa ama aliwambia wachezaji wake wafugwe? We akili huwa na je, mge shida hizo game mbili ungekuwa unasema hivi? NGURUWE PORI ww
Wewe umeleta makalio huku Nani kakutuma ..!Mwenzio anajaza pumba coment humu ndio lengo lake maana uzi umedoda huu....
Chelsea timu ndogo sana ,inayocheza kwa morali .Hayo mabomu yenu nani asiyo yajua? Eti alitaka kufugwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Chelsea timu ndogo sana ,inayocheza kwa morali .
Kuhusu ufundi ,ubunifu ,technique ,kuamua game hakuna wachezaji wazoefu ...
Mbaya zaidi wanategemea Werner ,mount,kuwapa EPL next season