Huyu mwalim wa makipaSisi hatuna muda na first eleven ,tunaweka wastafu wa mpira na wanaleta matokeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Scott ,,,!!View attachment 1785272
Huyu mtt balaa
Waache wajipumbazeSawa huyu babu yetu Scott alishastaff mpira atakuja kucheza final ...
Kwa taarifa yako hapo hakuna mwenye kucheza CL final na Chelsea ....
Nyie endeleeni kuteseka na FA Leo ...!
Tushawazidi ligiChelsea hamna uwezo wa kufanyiwa hivi ,sisi wanaume ,matasubili sanaaa...View attachment 1785281
[emoji23].Kiufupi kwa hii city sioni mbwa yeyote akitugusa hapa england ...
Kikosi b tu kinauhakika na matokeo ,kikosi A kitakuwepo kwa ajili ya kutembeza kipigo kwa timu kama man u ,Liverpool ,spurs ,Chelsea ,hiyo arsenal yeye anaweza kucheza na man city under 23 na wakala kipigo ..
Tunaenda kutawala league ya england sijaona timu ya kumgusa pep tenaaa...
Come on city
Kama Leicester na arsenal imewashinda unadhani city mtaiwezaNyie Mei 29 tutawapelekea moto mpaka maji muite mma.
Kama Leicester na arsenal imewashinda unadhani city mtaiweza
Leo lecister city anakupiga na kukutoa top 4 rasmi ..!Nyie si ndio tuliwagonga mara mbili mfululizo ama sio nyie?