The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sawa huyu babu yetu Scott alishastaff mpira atakuja kucheza final ...


Kwa taarifa yako hapo hakuna mwenye kucheza CL final na Chelsea ....


Nyie endeleeni kuteseka na FA Leo ...!
Waache wajipumbaze
 
Kiufupi kwa hii city sioni mbwa yeyote akitugusa hapa england ...

Kikosi b tu kinauhakika na matokeo ,kikosi A kitakuwepo kwa ajili ya kutembeza kipigo kwa timu kama man u ,Liverpool ,spurs ,Chelsea ,hiyo arsenal yeye anaweza kucheza na man city under 23 na wakala kipigo ..



Tunaenda kutawala league ya england sijaona timu ya kumgusa pep tenaaa...


Come on city
[emoji23].
Naona wamekimbia
 
Chelsea have not won a single Premier League title without John Terry at the club. They've also lost 5 of our last 7 finals since he left the club.
 
FA is against us[emoji23][emoji23]
FB_IMG_16211625987989145.jpg
 
Hawa jamaa wanahitaji heshima kubwa.
Kwakushangilia kufungwa
FB_IMG_16211626077955793.jpg
 
Leo pep najua anaenda kuweka kikosi c kabisa ,haina haja ya kuchezesha key player ...

Wacha wengine wamalizie wine nyumban kushereke ubingwa EPL ...
 
Watamani kufuta kauli ,zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
_man_city_uk_-20210512-0001.jpg
 
Back
Top Bottom