Nini kinaendelea huku
Ahahahahaha nyie ni wanafunzi wetuwameukimbia Uzi wao [emoji3][emoji3]
Cancelo leo aliforce tu kucheza lakini alikua hayupo sawa, kipindi cha kwanza alikua anapoteza mipira kijingajinga.Come on city ....
Aisee first half tumechaza utumbo mkubwa ,....
Ake inabidi afanye mazoezi ya kutosha ,japo amaeokoa goli lile....ulikuwa uchochoro wa Saka....
Yaani Leo sijui tulikuwaje ..arsenal wamepress hatari ..mpaka mpira ukitoka huwezi one wapi pa kurusha ...Cancelo leo aliforce tu kucheza lakini alikua hayupo sawa, kipindi cha kwanza alikua anapoteza mipira kijingajinga.
Huu uzi huwa wako tu japechYaani Leo sijui tulikuwaje ..arsenal wamepress hatari ..mpaka mpira ukitoka huwezi one wapi pa kurusha ...
Ake alikuwa anamwacha Saka pekee yake ,mbaya zaidi wakikutana one vs one mpaka rodri aje kumsaidia .....
Sterling anakokota mpira na kuwin kutoka kwenye msitu lakin hatoi pass ....
Leo tumeshinda kwa ubunifu wa bernado Silva aiseee ...
Wachezaji walikuwa wanacheza wamechoka kabisa [emoji53] labda kutoka na hizi siku mbili game back to back .....
ahhh!....kweli arteta kawabadilisha arsenane maana walitung'ang'ania city sio poa kabisa, walikaza sema hawana bahati hilo lazima walielewe!Nini kinaendelea huku
kiukweli leo mlikuwa vizuri kiliko sisi ilo lazima tuliseme dah kama first half city alikuw hovyo asee, nachoweza kusem leo mlikuwa na jambo lenu lakini bahati haikuwa upande wenu arsenane!Mmepewa ushindi wa kimchongo
mzee wa trust the process kweli kawabadilisha!wameukimbia Uzi wao [emoji3][emoji3]
ake kafanya VITAL CLEARANCE NA PIA BAHATI ILIKUWA UPANDE WETU TUMEONDOKA NA POINT TATU, lakini pia sio ake tu ata Cancelo kacheza chini ya kiwango naona hakuwa sawa kutokana na lile tukio la uvamizi alofanyiwa, but all in all we won the game!Come on city ....
Aisee first half tumechaza utumbo mkubwa ,....
Ake inabidi afanye mazoezi ya kutosha ,japo amaeokoa goli lile....ulikuwa uchochoro wa Saka....
jamaa hakuwa sawa yule maana leo full back zote zimechez chini ya kiwango na hilo ndo lilifanya ata beki zetu za kati kupata tabu kwa vitoto kama saka na martinelli.Cancelo leo aliforce tu kucheza lakini alikua hayupo sawa, kipindi cha kwanza alikua anapoteza mipira kijingajinga.