The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

FIxture zetu za hii january 2022!

b4fd2ea2-745e-493b-8b29-55d6d2f6d29a.jpg

And this is the 1st one of our 2022, Let's show them who is the BOSS RIGHT NOW IN ENGLAND!!!
4dff3229-82c6-40e1-b278-a76c972c8b83.jpg
 
Dah!...nilisubiri kuliona hili bwana mansour anataka kumpa aguero awe GLOBAL CITY AMBASSADOR....nzuri sana hii.

FireShot Capture 181 - Sheikh Mansour makes Dubai offer to ex-Man City striker Aguero - Trib_ ...png
 
Come on city ....

Aisee first half tumechaza utumbo mkubwa ,....

Ake inabidi afanye mazoezi ya kutosha ,japo amaeokoa goli lile....ulikuwa uchochoro wa Saka....
 
Cancelo leo aliforce tu kucheza lakini alikua hayupo sawa, kipindi cha kwanza alikua anapoteza mipira kijingajinga.
 
Yaani Leo sijui tulikuwaje ..arsenal wamepress hatari ..mpaka mpira ukitoka huwezi one wapi pa kurusha ...

Ake alikuwa anamwacha Saka pekee yake ,mbaya zaidi wakikutana one vs one mpaka rodri aje kumsaidia .....

Sterling anakokota mpira na kuwin kutoka kwenye msitu lakin hatoi pass ....

Leo tumeshinda kwa ubunifu wa bernado Silva aiseee ...

Wachezaji walikuwa wanacheza wamechoka kabisa [emoji53] labda kutoka na hizi siku mbili game back to back .....
 
Huu uzi huwa wako tu japech
 
Come on city ....

Aisee first half tumechaza utumbo mkubwa ,....

Ake inabidi afanye mazoezi ya kutosha ,japo amaeokoa goli lile....ulikuwa uchochoro wa Saka....
ake kafanya VITAL CLEARANCE NA PIA BAHATI ILIKUWA UPANDE WETU TUMEONDOKA NA POINT TATU, lakini pia sio ake tu ata Cancelo kacheza chini ya kiwango naona hakuwa sawa kutokana na lile tukio la uvamizi alofanyiwa, but all in all we won the game!
 
Cancelo leo aliforce tu kucheza lakini alikua hayupo sawa, kipindi cha kwanza alikua anapoteza mipira kijingajinga.
jamaa hakuwa sawa yule maana leo full back zote zimechez chini ya kiwango na hilo ndo lilifanya ata beki zetu za kati kupata tabu kwa vitoto kama saka na martinelli.
 
Mimi kucheza vibaya Leo sion tatizo kabisa ,wachesaji walikuwa wamechoka kulinganisha na arsenal ...

Arsenal walikuwa wamepumzika siku nyingi Sana kutokana na case za covid but sisi tumetoka kucheza juzi na Brentford ,Bado siku mbili tunakuta na arsenal .....

Ndio maana wachezaji wetu walikuwa out of form ,uchovu ulikiwa mkubwa Sana ....

Kusema kweli arsenal walitutawala Sana first half with zero shot on Target [emoji53][emoji53]

Any way ,wacha tujipange next game .....
 
Back
Top Bottom