The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Felipe alitaka kumuua mtu, alitaka mchezeshea kichapo Phil foden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walishindwa kucheza mpira wakaanza kucheza ngumu atletico....foden ni bonge la player Felipe kaonekana kilaza tu ,that is football lakin majitu makubwa ni kucheza rafuu tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani hawa jamaa kazi kubwa waloifanya ni kutuumizia wachezaji wetu tu nimewachukia kwakweli.
 
Walishindwa kucheza mpira wakaanza kucheza ngumu atletico....foden ni bonge la player Felipe kaonekana kilaza tu ,that is football lakin majitu makubwa ni kucheza rafuu tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Felipe kamfata Foden amburuze kama alivyo buluzwa gadafi [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…