The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Vile Liverpool walimtuma Lallana aje kuifunga city[emoji16][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Masikin ya Mungu bado watamtuma Steven gerad na villa yake aje kuifunga city,yaani sisi mbwa yeyote atakayekuja mbele yetu ni kumpa kipigo cha mbwa Koko [emoji28] na kutoka anabweka bweeeee bweeeee
 
Mwili sisimizi nguvu tembo ,Brighton walikuwa wanafanya kazi ya kumvuta shati tu .. bernado
 
Liverpool siku zinakuja watalia machozi ya damu huku wakijuta kwanini hawakutufunga etihad wakatuacha pale juu kileleni [emoji28][emoji28][emoji28]
 
23rd, tutakuwa kwenye mazoezi ya viungo na Watford, ili 26th,hawa wazee kina Benzema dawa iwaingie vizuri.
 
Mahrez naona alitakiwa kuwa ndio man of the match ...1 goal + assist ....kDB ana asist tu
 
Anyefuata kucheza na city ni nan wikiend. Hii?
 
Six games to go.....!

Lile goli la sterling la offside against Liverpool....[emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…