The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Asanteni kwa kushiriki Man City
Mnaenda kufa Madrid nyingi sana
Final ni Liverpool vs Madrid
 
Kikubwa ni kuwa tunaongoza goli moja na hao Madrid wanaenda kufia huko huko kwao ....!

Ni vile defence yetu ilipwaya ...

Hakuna cancelo

Hakuna walker

Anaingia frenandihno kucheza RB[emoji23]hata hivo Mimi naona tumecheza vizuri ..!
 
Bado Man City kwa ushambuliaji wao wana nafasi nzuri tu ya kuwafunga Real Madrid hata zaidi ya goli 3 ugenini huko Santiago Benabeu.

Real Madrid hana beki nzuri sana ya kumzuia Man City asiifunge kwao Hispania.
Mkuu huyo ni Liverpool ambaye hajui kama anaweza kupata hata draw kwa Villarreal [emoji23][emoji23][emoji23]hajielewi ....

Sis kukosekana kwa cancelo na walker kumetucost ,imagine frenandihno anacheza RB [emoji23]

Zincheko yupo motooo
 
Kilichotumaliza leo ni Kukosa Mbavu zetu kulia na kushoto, magoli ya Drid mawili yametokea upande wa Ndhinho.

Bado sioni ni kwa namna gani Madrid anaweza kututoa,

Ujinga aliochezewa Ndhinho na Vini siamini kama ingekuwa ni either Cancelo au Walker angekubali, wangeenda toe to toe.

We are through to the Final.
 
Huyu Madrid anaenda kutolewa kule kule kwake,ni swala la muda tu[emoji23]
 
Uwanja na mashabiki pekee hauwezi badilisha mbinu za wachezaji nacho amini huyu ni halali yetu tu hata huko kwao hatachomoka.
 
Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go
 
Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go
Man city home huwa sio mzuri sana ila akitoka huwa ni mwingine kabisa hakika Madrid hana chake mpaka hapo.
 
Nyie jidanganyeni tuuu, Madrid ni mwanaume , Kwa akili yenu mnafkri hayo magori matatu kayabahatisha eeh .... Ngojeni muone..!! Champions League sio ngoma ya watoto kama nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…