Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,777
Tarehe 04/05/2022 tuone kinacho tokea maana kwa hayo matokeo man city hawana uhakika wa ku qualify.Si mlisema Madrid wepesi kama karatasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 04/05/2022 tuone kinacho tokea maana kwa hayo matokeo man city hawana uhakika wa ku qualify.Si mlisema Madrid wepesi kama karatasi
Wewe unauhakika hata wa kupata sare kwa Villarreal e[emoji23][emoji23][emoji23]Tarehe 04/05/2022 tuone kinacho tokea maana kwa hayo matokeo man city hawana uhakika wa ku qualify.
Bado Man City kwa ushambuliaji wao wana nafasi nzuri tu ya kuwafunga Real Madrid hata zaidi ya goli 3 ugenini huko Santiago Benabeu.Asanteni kwa kushiriki Man City
Mnaenda kufa Madrid nyingi sana
Final ni Liverpool vs Madrid
Acha matusi dogo, bado Man City mna nafasi ya kusonga mbele hadi kuchukua ubingwa wa UEFA champions league 2021/22.Wewe unauhakika hata wa kupata sare kwa Villarreal kenge wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huyo ni Liverpool ambaye hajui kama anaweza kupata hata draw kwa Villarreal [emoji23][emoji23][emoji23]hajielewi ....Bado Man City kwa ushambuliaji wao wana nafasi nzuri tu ya kuwafunga Real Madrid hata zaidi ya goli 3 ugenini huko Santiago Benabeu.
Real Madrid hana beki nzuri sana ya kumzuia Man City asiifunge kwao Hispania.
Endelea kuteseka mkuu hivo hivo [emoji23][emoji23]Hakuna timu naichukia duniani kama hii. Mammbwa tu.
Huyu Madrid anaenda kutolewa kule kule kwake,ni swala la muda tu[emoji23]Kilichotumaliza leo ni Kukosa Mbavu zetu kulia na kushoto, magoli ya Drid mawili yametokea upande wa Ndhinho.
Bado sioni ni kwa namna gani Madrid anaweza kututoa,
Ujinga aliochezewa Ndhinho na Vini siamini kama ingekuwa ni either Cancelo au Walker angekubali, wangeenda toe to toe.
We are through to the Final.
Huyu Madrid anaenda kutolewa kule kule kwake,ni swala la muda tu[emoji23]
Man city home huwa sio mzuri sana ila akitoka huwa ni mwingine kabisa hakika Madrid hana chake mpaka hapo.Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go
tutamfanya kama tulivyomfanya Dortmund msimu ulioishaMan city home huwa sio mzuri sana ila akitoka huwa ni mwingine kabisa hakika Madrid hana chake mpaka hapo.