Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Huyu asiuzwe kabisa ,daa arsenal wanataka kuokota dodoView attachment 2201966
Mimi binafsi namuogopa villareal kuliko Liverpool, villareal wanacheza low block ,na wapo vzuri kudefend kweli kweli ,wapo compact ...
Chelsea alitufunga final kwa njia hio ,tuna tatizo na timu inayocheza huo mfumo ,kuwafungua inakuwa ngumu Sana ....
Kama tukiwatoa madridi ,namtamani Liverpool,[emoji28][emoji28]
Watu mpira mmeanza kuangalia lini.
Huyo madrid unasema hajawai kuwa mbovu kwake, alipigwa nne hapo bernabeu na watoto wa ajax
Kwani kuna Timu ambayo haijawahi Kufungwa?
Vice versa is true.
Unafanya Kila aina ya maombi ili Liverpool atoke.
Unajua fika kuwa Liverpool kwenye Fainali haitokuwa kazi rahisi.
Unabonga Sana , weka mtonyo mezaniwewe ni muoga kupindukia moto wa city unaujua na huwezi support city apite , Madrid mbona anafungika kirahisi sana, tena tutampigia kwake .stop being a coward, get ready to face the music
Nadhani umesahau Chelsea mwaka jana alimfanya nini Madrid kwao? City alimfanya nini Madrid kwao au unakariri tu. Madrid anafungika tu kwao hata kile ki team sijui Sharrif kilimpiga pale kwenye makundi.wewe ni muoga kupindukia moto wa city unaujua na huwezi support city apite , Madrid mbona anafungika kirahisi sana, tena tutampigia kwake .stop being a coward, get ready to face the music
Hakuna timu nyepesi kama Liverpool epl ...!
Timu ngumu Mimi naona ni Chelsea tu na ni kwa vile walikuwa solid kwenye defence ila nyie Liverpool 😅😅😅😅mnapigika tu
Hakuna timu nyepesi kama Liverpool epl ...!
Timu ngumu Mimi naona ni Chelsea tu na ni kwa vile walikuwa solid kwenye defence ila nyie Liverpool 😅😅😅😅mnapigika tu
2021/2022
Chelsea Timu Ngumu: Umepiga Nje Ndani.
Liverpool Timu Nyepesi: Liverpool 3 - 2 Man City
Liverpool 2 - 2 Man City
Liverpool 0 - 0 Man City
Wewe huenda unavuta Bange 😂😂😂
Eti nyepesi mbona umeshindwa ifunga msimu huuHakuna timu nyepesi kama Liverpool epl ...!
Timu ngumu Mimi naona ni Chelsea tu na ni kwa vile walikuwa solid kwenye defence ila nyie Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mnapigika tu
Eti nyepesi mbona umeshindwa ifunga msimu huu
Madrid haitokuwa Mara ya kwanza Leo akitolewa na city msiwe wasahaulifu alishawahi kufungwa nje ndaniTarehe 04/05/2022 tuone kinacho tokea maana kwa hayo matokeo man city hawana uhakika wa ku qualify.
Ingekuwa ni Mara ya kwanza kukutana sawa Ila man City alishawahi pata matokeo Madrid pale santiago BernabeuAsanteni kwa kushiriki Man City
Mnaenda kufa Madrid nyingi sana
Final ni Liverpool vs Madrid
Nilishaga mfunga na kumtoa uyo Madrid wako nilimpiga nje ndani Katika mechi 4 tulizokutana nmeshinda 3 kashinda 1 kwangu ni mkePambafu. Bernabeu mnakufa tatu kavu.
Hata msimu tunamtoa Madrid robo fainal kwa kumfunga nje ndani mlisema ivi ivi tumekutana nae Mara 4 tumeshinda3 kashinda 1 hatuweziNyie jidanganyeni tuuu, Madrid ni mwanaume , Kwa akili yenu mnafkri hayo magori matatu kayabahatisha eeh .... Ngojeni muone..!! Champions League sio ngoma ya watoto kama nyie
Tuna historia ya kumtoa man city uyo ni mke wetu mashemeji tulieni uyo tunakukaga nje na nyumbani nyuma na mbele yaaniHili timu lenu siyo uefa materials. Uyu Pep ataondoka hapa city bila hili kombe..
Ninyi ni takataka haswa..
,#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Lakini uyu uyu Madrid alishawahi kutolewa na man city alifungwa nje ndani au mmeshasahau?Umeanza lini kufuatilia mpira? Hivi unajua Madrid dhidi ya Chelsea tayari alikwishakuwa na Mtaji mkubwa wa ushindi wa Ugenini (3 - 1)?
Timu yoyote inapokuwa na Mtaji mkubwa wa Ushindi wa Ugenini basi game ya Nyumbani huwa wanalegeza kama.
Refer game za Liverpool vs Milan na Benfica zote kashinda Ugenini lakini Nyumbani hakushinda.
Hivyo Real ingelikuwa Hakupata ushindi Mubwa uenini usidhani kuwa angefungwa na Chelsea Ndani ya Barnabeu.
Haijawahi kutokezea Madrid akawa mbovu Nyumbani kwake.
Hakuna away goals sikuizi3-1 ,,4-2 Bado tunashindwa kumanage game ,tunaruhusu goli rahisi kabisa ....!uefa goli moja ni zaidi ya point 3 ,ilitakiwa tumanage mchezo ikiwezekana tucheze kama atletico madridi baada ya kuwa tunaongoza kwa zaidi ya magoli 2 ...!
Tushagamtoa hasumbui uyoNyie jifananisheni na Chelsea sasa, mtawashiwa moto huko huko ndio mtakapo jua. Kuna ile unaenda kumpiga mtu kume wewe ndio unaenda kupigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]