The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mimi binafsi namuogopa villareal kuliko Liverpool, villareal wanacheza low block ,na wapo vzuri kudefend kweli kweli ,wapo compact ...

Chelsea alitufunga final kwa njia hio ,tuna tatizo na timu inayocheza huo mfumo ,kuwafungua inakuwa ngumu Sana ....

Kama tukiwatoa madridi ,namtamani Liverpool,[emoji28][emoji28]

Vice versa is true.

Unafanya Kila aina ya maombi ili Liverpool atoke.
Unajua fika kuwa Liverpool kwenye Fainali haitokuwa kazi rahisi.
 
Vice versa is true.

Unafanya Kila aina ya maombi ili Liverpool atoke.
Unajua fika kuwa Liverpool kwenye Fainali haitokuwa kazi rahisi.

Hakuna timu nyepesi kama Liverpool epl ...!

Timu ngumu Mimi naona ni Chelsea tu na ni kwa vile walikuwa solid kwenye defence ila nyie Liverpool 😅😅😅😅mnapigika tu
 
wewe ni muoga kupindukia moto wa city unaujua na huwezi support city apite , Madrid mbona anafungika kirahisi sana, tena tutampigia kwake .stop being a coward, get ready to face the music
Unabonga Sana , weka mtonyo mezani
 
wewe ni muoga kupindukia moto wa city unaujua na huwezi support city apite , Madrid mbona anafungika kirahisi sana, tena tutampigia kwake .stop being a coward, get ready to face the music
Nadhani umesahau Chelsea mwaka jana alimfanya nini Madrid kwao? City alimfanya nini Madrid kwao au unakariri tu. Madrid anafungika tu kwao hata kile ki team sijui Sharrif kilimpiga pale kwenye makundi.
 
Hakuna timu nyepesi kama Liverpool epl ...!

Timu ngumu Mimi naona ni Chelsea tu na ni kwa vile walikuwa solid kwenye defence ila nyie Liverpool 😅😅😅😅mnapigika tu

Timu nyepesi hii unayosubiri mpaka ipate Tatizo ndiyo uifunge?

Ulisubiri Mane Apigwe Red Card ndiyo ukanifunga! Tulipokuwa Kamili nikakutandika CL nje Ndani kwa aibu.

Ukanitokea Msimu uliopita nimejaa Injuries Watu wanajipigia Tu ndiyo nawewe ukanifunga.

Lakini nikiwa kamili kama Msimu huu ushindi wa Man City mwisho Draw! Kama unabisha weka Head To Head uone utakavyokimbia manake kwenye Uzi wetu siku moja ulikuja na Head To Head ya kufoji nikakuekea ya kweli ulikimbia 120km/h 😂😂😂

Sasahivi umekuwa kama Mshabiki wa Chelsea manake wanajisifu Liverpool kwao ni Timu nyepesi lakini kila baada ya Misimu 4 ndiyo wanapata ushindi wa kuotea mara Moja.

Sasa na wewe unasema Liverpool ni Timu nyepesi! Sijui ungekuwa unatutandika nje Ndani kama unavyowaonea kina Chelsea na Manure ungesemaje? 😂😂
 
Hakuna timu nyepesi kama Liverpool epl ...!

Timu ngumu Mimi naona ni Chelsea tu na ni kwa vile walikuwa solid kwenye defence ila nyie Liverpool 😅😅😅😅mnapigika tu


2021/2022
Chelsea Timu Ngumu: Umepiga Nje Ndani.

Liverpool Timu Nyepesi: Liverpool 3 - 2 Man City
Liverpool 2 - 2 Man City
Liverpool 2 - 2 Man City

Wewe huenda unavuta Bange 😂😂😂
 
2021/2022
Chelsea Timu Ngumu: Umepiga Nje Ndani.

Liverpool Timu Nyepesi: Liverpool 3 - 2 Man City
Liverpool 2 - 2 Man City
Liverpool 0 - 0 Man City

Wewe huenda unavuta Bange 😂😂😂

Hizo takwimu ni za lini ?

Embu kwanza nicheke kidogo😅😅
 
Hakuna timu nyepesi kama Liverpool epl ...!

Timu ngumu Mimi naona ni Chelsea tu na ni kwa vile walikuwa solid kwenye defence ila nyie Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mnapigika tu
Eti nyepesi mbona umeshindwa ifunga msimu huu
 
Tarehe 04/05/2022 tuone kinacho tokea maana kwa hayo matokeo man city hawana uhakika wa ku qualify.
Madrid haitokuwa Mara ya kwanza Leo akitolewa na city msiwe wasahaulifu alishawahi kufungwa nje ndani
 
Asanteni kwa kushiriki Man City
Mnaenda kufa Madrid nyingi sana
Final ni Liverpool vs Madrid
Ingekuwa ni Mara ya kwanza kukutana sawa Ila man City alishawahi pata matokeo Madrid pale santiago Bernabeu
 
Nyie jidanganyeni tuuu, Madrid ni mwanaume , Kwa akili yenu mnafkri hayo magori matatu kayabahatisha eeh .... Ngojeni muone..!! Champions League sio ngoma ya watoto kama nyie
Hata msimu tunamtoa Madrid robo fainal kwa kumfunga nje ndani mlisema ivi ivi tumekutana nae Mara 4 tumeshinda3 kashinda 1 hatuwezi
 
Hili timu lenu siyo uefa materials. Uyu Pep ataondoka hapa city bila hili kombe..
Ninyi ni takataka haswa..
,#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Tuna historia ya kumtoa man city uyo ni mke wetu mashemeji tulieni uyo tunakukaga nje na nyumbani nyuma na mbele yaani
 
Umeanza lini kufuatilia mpira? Hivi unajua Madrid dhidi ya Chelsea tayari alikwishakuwa na Mtaji mkubwa wa ushindi wa Ugenini (3 - 1)?
Timu yoyote inapokuwa na Mtaji mkubwa wa Ushindi wa Ugenini basi game ya Nyumbani huwa wanalegeza kama.
Refer game za Liverpool vs Milan na Benfica zote kashinda Ugenini lakini Nyumbani hakushinda.

Hivyo Real ingelikuwa Hakupata ushindi Mubwa uenini usidhani kuwa angefungwa na Chelsea Ndani ya Barnabeu.

Haijawahi kutokezea Madrid akawa mbovu Nyumbani kwake.
Lakini uyu uyu Madrid alishawahi kutolewa na man city alifungwa nje ndani au mmeshasahau?
 
3-1 ,,4-2 Bado tunashindwa kumanage game ,tunaruhusu goli rahisi kabisa ....!uefa goli moja ni zaidi ya point 3 ,ilitakiwa tumanage mchezo ikiwezekana tucheze kama atletico madridi baada ya kuwa tunaongoza kwa zaidi ya magoli 2 ...!
Hakuna away goals sikuizi
 
Nyie jifananisheni na Chelsea sasa, mtawashiwa moto huko huko ndio mtakapo jua. Kuna ile unaenda kumpiga mtu kume wewe ndio unaenda kupigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tushagamtoa hasumbui uyo
 
Back
Top Bottom