Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Huyu asiuzwe kabisa ,daa arsenal wanataka kuokota dodoView attachment 2201966
Pep sio mjinga kumueka Benchi huyu Dogo.
Ni kwamba hana Consistency! Sasahivi upepo upo upande wake lakini ukikata tu anakuwa hafai.