The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Casemiro ashakunywa juis ya tende na alkasusu anasubir jion kuimarisha ulinz dhid ya man panya road shitye
 
Mimi nawataka nyie man shity fainali najua Pep ataovathink na itakula kwake. Kwanza Madrid akipita atapata muda mwingi wa kupumzisha wachezaji wake kwasababu La liga yeye bingwa tayari. Leo mpite tu
 
Mimi nawataka nyie man shity fainali najua Pep ataovathink na itakula kwake. Kwanza Madrid akipita atapata muda mwingi wa kupumzisha wachezaji wake kwasababu La liga yeye bingwa tayari. Leo mpite tu
Salah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…