Kabisa mkuu alafu haka karembo ka cocastic huwa nakapendaga, kakikutana kule na Saint Anne itakuwa bomba sana, saint Anne utanishushia ma vocal basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoo Liverpool jamani mrembo utakufa na presha na hiki kikundi cha wahuni
[emoji16][emoji16][emoji16]wameumaliza mwendoMwendo mmeumaliza
Nimetoka mbali na man city, tangu iko low profile had hapa ilipofikia,Njoo Liverpool jamani mrembo utakufa na presha na hiki kikundi cha wahuni
Hapo ndo utajua umuhimu wa kocha was mechi kubwa[emoji16]
Na wanataka wamuuze Jesus Arsenal, hivi kwanini wasiitoe kafara hii Grelish iende hata Norwich? Yaani Grelish ni project iliyo feli mpaka sasa.Uyu Dogo na Mwenzie glealish wamevurunda mno,
walikua hawana msaada kabisa time inaposhambuliwa[emoji16]
Sisi tungekua na villareal mbna final mapema kabisaa.Mlikuwa mnasema kuwa Villarreal hatuna uhakika hata wa sare [emoji1787][emoji1787], saiv unaniambia mmesha hata hilo kombe? [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee hio ndio football,haijalishi sio CL materials lakin kashatupa mafanikio ,Sasa nadhni ni muda wa yeye mwenyewe kusema hadhari kuwa kafeli kubeba CL
Maana mpaka Sasa Hana kisingizio kingine [emoji23][emoji23]
Kumbe jamaa aliwatembelea na huko? [emoji1787][emoji1787] Jamaa katoka nduki yupo buza sasa na kumkamata hamuwezi [emoji1787][emoji1787]We jamaa rudi kwenye jukwaa la madrid kule tunakuulizia
Eti wameumaliza mwendo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wameumaliza mwendo
Huyu jamaa alikwambia mapemaa lakini hukusikia Pain killer View attachment 2211904
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa sauti aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] yaan Man City km msimu huu ameshindwa bas, hata asiwe anashiriki UEFA, yaan tunapitwa had na Aston Villa? Mwenzetu ana UEFA khaaaah
Kumbe jamaa aliwatembelea na huko? [emoji1787][emoji1787] Jamaa katoka nduki yupo buza sasa na kumkamata hamuwezi [emoji1787][emoji1787]
Sisi Liverpool pamoja na Chelsea kwa msimu huu tunakombe moja moja , je nyie? Alafu bado funapambania FA, UCL plus League.Sisi tungekua na villareal mbna final mapema kabisaa.
Nyie mngekutana na madrid mngetusua? Haya mkakutane final tutawasubir wembley kuwapokea na kombe la 7.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vinicius sio mtu mzuri [emoji1787][emoji1787]Mechi ilopita mlisingizia Walker hayupo.
Leo yupo ila kakimbizwa mchaka mchaka na vinicius mpk misuli imemkaza akaomba sub mwenyewe[emoji16]
Anaonaga Man city ni timu ni kutoka peponi.Anajifanyaga mtema shombo sana huyu jamaa
Rafiki nimevurugwa hapa wee acha tyuuh. Kesho chuo nitatafunwa mzima mzima na watu, hapa text na call zinaingia tyuuh, natazama hata kupokea na kujibu siwezi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa sauti aisee
Glealish na stearing Wana uchezaji was Aina moja, ambao unaifavor timu inayoongoza goli nyingi, lakini sio kwenye pressure kubwa Kama game ya leoNa wanataka wamuuze Jesus Arsenal, hivi kwanini wasiitoe kafara hii Grelish iende hata Norwich? Yaani Grelish ni project iliyo feli mpaka sasa.
Hamia Liverpool wewe, acha kuteseka na tim za uchochoroniRafiki nimevurugwa hapa wee acha tyuuh. Kesho chuo nitatafunwa mzima mzima na watu, hapa text na call zinaingia tyuuh, natazama hata kupokea na kujibu siwezi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]