The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mpaka hapa pep kashafeli ,uefa haiwezi kabisa

Sasa Kijana si utajifunza kuwa UCL ina wenyewe?
Sasa vile vijimaneno vyako sijui Pressing, sijui buildup na takataka nyengine ulidhani kweli vitakusaidia umtoe Madrid?
Unajua hata ile invincible ya Arsenal haikufurukuta UCL badala yake 2005 akabeba Liverpool ya kina Luis Garcia na Milan Baros? Unajua kwanini?
UCL ina wenyewe! Pep angekuwa yupo Liverpool nakuhakikishia muda huu angekuwa na UCL 4 kamili.
Lakini kwa Man City ataendelea kuwa underdog siku zote kwenye UCL.

Hope next season utajifunza kunyamaza.
 
Daaah! Sasahivi unatupa stori tofauti kabisa
 
Mkuu nimepitia comment zako, huyu Pain killer ulimwambia kila kitu tangu mwanzo kwamba mtapigwa lakini hakusikia na ndio kimetokea.
 
Usitulutee mahubiri jambo la umuhimu ni kwamba jana mmegongwa 3 basi.
MADRID NDIO DAWA YA MAKABWILI KAMA WEWE.
 
3-1 alaf unajifariji ulimzidi kila kitu we jamaa unajielewa kweli , kule Etihadi na penyewe ilikuwa balaa tupu , vitoto vyenu vilichoka mbio ndefu haviwezi , .....
 
Maalim anakusalimia
 
Kabisa mkuu uefa ina wenyewe kama kina Chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…