The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Lol


Juventus, barca, psg, chelsea, atletico madrid, livapool, Ajax, Argentina etc were with you last night.
Afu unasema watu wanawaongelea.
Sema wanawasikitia kwa jinsi mlivyowaangusha licha ya kuwapeni support 100%.
 
Ndyoooooh, wanaoenda final wenyewe, wanaizungumzia city.
Chama kubwaaaaaaa, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 

We jamaa kwenye football nimweupe sana
 
Ndyoooooh, wanaoenda final wenyewe, wanaizungumzia city.
Chama kubwaaaaaaa, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Uefa ipo tu na itaendelea kuwepo ,cha mhimu ni ku improve squad ,...

Mimi naona tutafute goli keeper wa kumsaidia Ederson ,maana one vs one Ederson sio mzuri kabisa ...

Tunahitaji LB na RB strong maana zincheko na walker wako vzuri lakin Kuna kipindi wanakuwa out of form .....

Kutafuta DM wawil , mbadala wa frenandihno maana anaondoka na sioni wa kuziba pengo lake .....

Jesus anatakiwa kubaki kabisa....

Grealish anatakiwa atafute team ya kucheza hata kwa mkopo maana ni failed project ..,

Tuna mhitaji striker hatari kama halaand kuja kumaliza nafasi zote za wazi tunazopoteza ,kuendelea kutumia false 9 kila game inakuwa tatizo ...

Benado Silva ni monster .....!

Muda wa kuachana na sterling ndio huu ,kaflop vibaya mno ,Hana nguvu , dribbling zake ni za kupoteza mpira na kujiangusha tu ...!


Tukutane next season ,lazima tuendelee kuwanyoosha vigagula vya epl ,

Next game Newcastle.....
 
Jr huwa hataki mchezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], yule dogo anaspeed kweli na pumzi ya kutosha
Dogo ni fundi kwelikweli ila mimi ananikera sana jinsi anavyolazimisha kupaka rangi kwenye 18, mtu ushaingia ndani ya box toa pasi watu watafute goli yeye analazimisha kupiga vyenga mpaka ananyang'anywa mpira.
Pia jana Walker alijitahidi sana kumdhibiti alikua hafurukuti ila baada tu ya Walker kutolewa Vini Jr ndio akaanza kuwapelekea moto.
 
Mkimfunga Burnley kelele hapa kweli kweli.
Wanaume wanajipigia tu
 
Its so much a shame on City team it shows they are not Uefa type
 
Jesus anabaki,
Sterllinh na Gearish waondoke kabisaaa

Tuna imani na team yetu, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Acha kuteseka,hamia Liverpool YNWA
 
Tunaposema nyie ni underdogs muwe mnaelewa sio kukaza fuvu

Champions league winning is for the big boys.

Nyie smalaa boyz komaeni huko epl

Labda mje mmutoe huyo P.E.P maana na curse ashaambiwa hatowin tena UCL hahahah voodoo
 
You are piss and shit hamna lolote.

Mna makelelw na visebengo wamekata kekundu[emoji2]
 
Sema unasikitika

Hakuna shabiki anaefurahi timu yake itolewe unless. Uwe shabiki maandazi.

Kunywa paracetamol pain killer maumivu yakutoke
 
Ndyoooooh, wanaoenda final wenyewe, wanaizungumzia city.
Chama kubwaaaaaaa, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Chama kubwa bila UCL [emoji2]

UCL for the big boyz
 
Waulize kwanini timu za afrika kombe la dunia hizifiki popote, hakuna swala la uchawi wala nini. City walikosa mfungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…