The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Yote wameyataka Real Madrid haya , tunaokuja kuumia nini sisi huku kwenye ligi yetu ya Malkia daah , sasa Haaland wa nini tena kwani Gabriel Jesus hatoshi ? [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sasa iangalie hiyo sura ya sanamu na iangalie sura ya Kroose then utajua hiyo sanamu ni ya nani.
 
West ham anaongoza,refa maliza game hio iishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…