Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Atayaachaje wakati la UEFA anajijua ni msindikizaji tuPep inatakiwa aachane na haya makombe ,hii sio timu ya kutafuta Tena makombe kama fa sijui carabao cup[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2229806
Ndo uwezo umeishia huko, unadhan hapendi?Pep inatakiwa aachane na haya makombe ,hii sio timu ya kutafuta Tena makombe kama fa sijui carabao cup[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2229806
Nifafanulie hii mkuu!Akishinda haendi.
Ila jana wamepigana mazoezini. Unaamini watashinda?
Kuku wangoje tena baada ya 30 yrs.Kuna timu za kutusumbua ila sio hii astonvilla ,hata kama Gerrard mwenyewe ataingia kucheza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kikosi chetu ,kila mtu mtu akisema akimbie uwanjani ,high energy ,high pressing ,kwa timu ambayo Haina cha kupoteza kama astonvilla [emoji28]hata kama wakiwa wametumwa lazima wafe ...!
We go