The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

City inamfukuzia cucurella Left back wa Brighton ,anamiaka 23 ,Brighton wanataka £30million ...!

Yupo vzuri Sana ,nilimwangalia ile game na man utd ,united wakifa goli 4 ,jamaa namuona kama Marcelo kabisa ,anapandisha mashambulizi na kushuka hatarii ...!
cucurella3-20220518-0003.jpg
 
Pep inatakiwa aachane na haya makombe ,hii sio timu ya kutafuta Tena makombe kama fa sijui carabao cup[emoji28][emoji28][emoji28]
mancity-20220518-0001.jpg
 
Kuna timu za kutusumbua ila sio hii astonvilla ,hata kama Gerrard mwenyewe ataingia kucheza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kwa kikosi chetu ,kila mtu mtu akisema akimbie uwanjani ,high energy ,high pressing ,kwa timu ambayo Haina cha kupoteza kama astonvilla [emoji28]hata kama wakiwa wametumwa lazima wafe ...!

We go
 
.Ederson kinachomuweka goli ni uwezo wa kupiga shuti mbali , accurate pass anazotoa kwa wachezaji wakati akirudishiwa mpira ....

ila Ederson kuhusu kudaka mpira hapo unamuonea [emoji28] ndio maana huwezi kuta akiokoa mipira kwenye one Vs one ,au kutoa penalty ...!

Kuna muda pep anatamani kucheza na false goalkeeper [emoji28][emoji28] na Kuna siku ataanza kutumia huo mfumo walahi ....Ederson sio kipa kabisa ni false goalkeeper hili swala watu wengi hawajalijua .....

Kuna magoli tunafungwa ukiangalia unaona kabisa angekuwa Mendy au Allison lazima angezitoa ,...!

mancity_mcfc-20220519-0002.jpg
 
Kuna timu za kutusumbua ila sio hii astonvilla ,hata kama Gerrard mwenyewe ataingia kucheza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kwa kikosi chetu ,kila mtu mtu akisema akimbie uwanjani ,high energy ,high pressing ,kwa timu ambayo Haina cha kupoteza kama astonvilla [emoji28]hata kama wakiwa wametumwa lazima wafe ...!

We go
Kuku wangoje tena baada ya 30 yrs.
 
Man City will never win the Champions League until Kevin De Bruyne admits that Brock Lesnar is his father
20220520_161819.jpg
 
Back
Top Bottom