Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Ndo mpira ulivyo hta hii man city wakati inasukwa arsenal iliwauzia sana wachezajiAisee ...
Natamani Sterling abaki tu ,maswala ya kuwauzia rivals wetu Tena top club Kama arsenal na Chelsea wachezaji wetu wazuri ni mbaya sana ....
Leo Jesus yupo arsenal na tukikuta a na arsenal kuna possibility za kutuadhibu ...bado Sterling aende Chelsea ?
Bora Chelsea tuwape ake tu ,....
Sterling abaki ....
Mkuu issue bado ipo hapa ,je wachezaji wote watafika wanafit vzuri kwenye mfumo wa pep ....Kwa city hii ya sasa na kwa usajili huu, wala hapana shaka kabisa.
KweliCity ni kama maji usipo yanywa, utayaoga hivyo kipigo kwa hizi team za epl bado kitaendelea.
Epl yetu hiyoKwa city hii ya sasa na kwa usajili huu, wala hapana shaka kabisa.
All are killersPossible front three View attachment 2284722
GoodOfficial no 9View attachment 2285791
Epl ianze tu