The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

[emoji1033] Julian Alvarez: "City has an amazing recent history of Argentinian players and I want to put my stamp on the club in the same way Sergio Aguero, Pablo Zabaleta and Carlos Tevez did."
mancityworld-20220708-0001.jpg
 
Aisee ...

Natamani Sterling abaki tu ,maswala ya kuwauzia rivals wetu Tena top club Kama arsenal na Chelsea wachezaji wetu wazuri ni mbaya sana ....

Leo Jesus yupo arsenal na tukikuta a na arsenal kuna possibility za kutuadhibu ...bado Sterling aende Chelsea ?

Bora Chelsea tuwape ake tu ,....

Sterling abaki ....
 
Aisee ...

Natamani Sterling abaki tu ,maswala ya kuwauzia rivals wetu Tena top club Kama arsenal na Chelsea wachezaji wetu wazuri ni mbaya sana ....

Leo Jesus yupo arsenal na tukikuta a na arsenal kuna possibility za kutuadhibu ...bado Sterling aende Chelsea ?

Bora Chelsea tuwape ake tu ,....

Sterling abaki ....
Ndo mpira ulivyo hta hii man city wakati inasukwa arsenal iliwauzia sana wachezaji
 
Kwa city hii ya sasa na kwa usajili huu, wala hapana shaka kabisa.
Mkuu issue bado ipo hapa ,je wachezaji wote watafika wanafit vzuri kwenye mfumo wa pep ....

Alvarez..

Halaand...

Phillips ...

Stefan ..

Pep anatakiwa kuwaamini na kuwapa muda ,najua kuna changamaoto na sio rahisi mchezaji kufika hapo hapo na kukiwasha epl Kama alivofanya Diaz Liverpool,epl Ina ugumu wake ....

But Mimi naamin halaand na Phillips wanaweza fika wanaendeleza walipoishia ila Alvarez na Stefan hapa kuna kupata dakika chache , Alvarez uchezaji wake na umaliziaji wake namfananisha na ferran Torres na tulimuuza Barcelona ...


Any way wacha league league ianze ..!

Pre season watu wanacheza match zaidi ya nne kuunganisha kikosi vzuri et sisi mpaka Sasa tuna uhakika na game mbili tu[emoji12]
 
reporter: Which team do you look forward to playing most this season?”

[emoji860] Erling Haaland: “I don’t like to say the words but… Manchester United, yeah.”

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom