Mkuu kuchezesha haaland na Alvarez na matatizi ,hapa pep kazingua , katikati tulikuwa hovyo ,rodri ,gundo walipwaya wote ...
Na movement za kwenye box hazikuwa na madha
Hapana tumpe mda tuHalaand tumepigwa
Kuwepo kwa Halaand kwa Manchester City ni msiba mmejitakia we shall seeMkuu Mimi kwa kweli nikimuona ake kwenye game ngumu Kama hizi napata hasira kichizi ,kwa sababu jamaa sio solid defence,makosa yake kwanza ni mfupi ,harafu Hana timing nzuri .....
Stone alifaa kuanza hii game ...
Kitu kingine grealish hakutakiwa kuanza ,hizi game alifaa foden ...
Kdb hakuwa kwenye form Leo so kumtoa ilikuwa poa ...
Haaland angetoka HT...
Kumchezesha Alvarez na halaand ni kusababisha mid kupwaya ,katikakti Liverpool wametumenya kisawasawa ....
Any way yameshapita tusubili game ya jumapili na westham kuanza league ....
But hii ni warning kuwa timu Haina muunganiko mzuri na league ikianza tunaweza kuchezea kipigo ....
Hilo sahani na nyinyi ndio mlikuwa mnalitaka sasa iweje mmelikosa muanze kulibeza?Nunuz kutufunga na kuvua shati alimaanisha Nini Sasa ,au anafikili like sahani ni uefa [emoji23]
Atafunga nyingi ila mtamkumbuka Sterling. Nani atampa huduma? Nani atamruhusu acheze labda Norwich city kule Championship. Akijifurukuta sana anapata injury miezi miwili kitandani akirudi fitness itamuandama Hadi ligi iisheNi straika mzur anahitaji muda
Daaa tumefingwa kihalali kabisa ...
Hatuna sold defence ...
Wewe ni nani unaleta utabiri uchwara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atafunga nyingi ila mtamkumbuka Sterling. Nani atampa huduma? Nani atamruhusu acheze labda Norwich city kule Championship. Akijifurukuta sana anapata injury miezi miwili kitandani akirudi fitness itamuandama Hadi ligi iishe