Mkuu Mimi kwa kweli nikimuona ake kwenye game ngumu Kama hizi napata hasira kichizi ,kwa sababu jamaa sio solid defence,makosa yake kwanza ni mfupi ,harafu Hana timing nzuri .....
Stone alifaa kuanza hii game ...
Kitu kingine grealish hakutakiwa kuanza ,hizi game alifaa foden ...
Kdb hakuwa kwenye form Leo so kumtoa ilikuwa poa ...
Haaland angetoka HT...
Kumchezesha Alvarez na halaand ni kusababisha mid kupwaya ,katikakti Liverpool wametumenya kisawasawa ....
Any way yameshapita tusubili game ya jumapili na westham kuanza league ....
But hii ni warning kuwa timu Haina muunganiko mzuri na league ikianza tunaweza kuchezea kipigo ....