The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu Mimi kwa kweli nikimuona ake kwenye game ngumu Kama hizi napata hasira kichizi ,kwa sababu jamaa sio solid defence,makosa yake kwanza ni mfupi ,harafu Hana timing nzuri .....

Stone alifaa kuanza hii game ...

Kitu kingine grealish hakutakiwa kuanza ,hizi game alifaa foden ...

Kdb hakuwa kwenye form Leo so kumtoa ilikuwa poa ...

Haaland angetoka HT...

Kumchezesha Alvarez na halaand ni kusababisha mid kupwaya ,katikakti Liverpool wametumenya kisawasawa ....

Any way yameshapita tusubili game ya jumapili na westham kuanza league ....

But hii ni warning kuwa timu Haina muunganiko mzuri na league ikianza tunaweza kuchezea kipigo ....
Kuwepo kwa Halaand kwa Manchester City ni msiba mmejitakia we shall see

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
20220730_215243.jpg

Name: Erling Paaland

Body: Zlatan

Hairstyle: Andy Carroll

Hype: Ronaldo

Expectation: Lewandowski

Predicted Performance: Cr7

Reality: Lukaku.. with a little touch of Yakubu.. Spiced with Timo Werner.. & flavoured with a little touch of Benteke. Having Maguire's mentality.
 
Ni straika mzur anahitaji muda
Atafunga nyingi ila mtamkumbuka Sterling. Nani atampa huduma? Nani atamruhusu acheze labda Norwich city kule Championship. Akijifurukuta sana anapata injury miezi miwili kitandani akirudi fitness itamuandama Hadi ligi iishe
 
Haaland kamiss big chance ,wacha tumpe muda ,soon ataadapt league na atascore magoli ..!
 
Atafunga nyingi ila mtamkumbuka Sterling. Nani atampa huduma? Nani atamruhusu acheze labda Norwich city kule Championship. Akijifurukuta sana anapata injury miezi miwili kitandani akirudi fitness itamuandama Hadi ligi iishe
Wewe ni nani unaleta utabiri uchwara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halland ni Lukaku Mweupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunaamini ktk Haaland, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Back
Top Bottom