Una maana gan
Hata league haijaanza hio ni Kama friend game ,haaland atawaonesha hapo hapo anfield..![emoji205]
View attachment 2309914
Sikuona sababu ya kiufundi ya kukubali jumuuza Sterling na kubaki na Grealish. Au ni dogo wa Kiparaguay anaandaliwa?Grealish ule ndio uwezo wake wa mwisho ,kiufupi ni average player ambaye hatakuja kuwa na maajabu yeyote .....
Uwezo wake umeishia pale ,hapa ni either pep aendelee kumwamini tu au aanze kuchezea bench ,awe anaonekana kwenye carabao tu ....
Mkuu kiufupi pep kakosolewa sana maana amekuwa akitolewa uefa kisa Hana natural no 9 ,kosa kosa za kina sterling ndio zilisababisha pep aamue kuingia sokoni kutafuta striker ...Sikuona sababu ya kiufundi ya kukubali jumuuza Sterling na kubaki na Grealish. Au ni dogo wa Kiparaguay anaandaliwa?
Je, kimfumo Kipara anamuhitaji Haaland? Kipi kilimfanya Aguero akose nafasi akiwa kwenye ubora wake?
Mkuu Laporte yupo majerehi na atakaa nje muda wa wiki 3 pep kashaliweka wazi ..mambo ma 4 yuLe natahan AKe sijajua shida iko wap match fitness bado Ku play role ya centre beck bado sana although alikua anafanya tackling nzuri sana pep angeanza na defense ya Laporte na Dias kuliko huyu ake bora angeuzwa akaletea center back mwingine solid na technically
2.greaLish kwa nini pep anamuamin sana?? TuLitegemea this time around ataanza vzurii but still bado anatuchelewesha kwenye nchi ya ahadi hajafit kwenye state kabisa mara mia angeanza foden ile game ya juz imeniuma mnoo kiLa idaRa tuLizidiwa haswA eneo La kiungo angemuongeza kaLvin phiLLips na rodri wangepunguza iLe pressure paLe Kat
CanceLo mzuri kushambuLia but in case of defense katuangusha sana juz
Asante bro!Mkuu kiufupi pep kakosolewa sana maana amekuwa akitolewa uefa kisa Hana natural no 9 ,kosa kosa za kina sterling ndio zilisababisha pep aamue kuingia sokoni kutafuta striker ...
Aguero alikuwa kashafika ukingoni kwan za ndani kabisa walikuwa wanasema hata mazoezin alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kupumua ,hata alivoenda Barcelona ndio maana tatizo likawa kubwa ....
Kumleta halaand na kwa sababu ya kuweza kuwa "finisher" zile chance ambazo zilikuwa zinatengenezwa bila kumaliziwa pep anaamini zitakuja kuzaa magoli ....
Pep atalazimisha halaand kufit kwenye mfumo kwa namna yeyote ile , vinginevyo itakuwa ngumu zaidi kuiambia Dunia na board nzima kuwa halaand hawezi kumtumia na nadhani ndio utakuwa mwisho wa pep city ..kwanza mkataba unaisha 2024 ,Kama asipochukua CL basi yeye mwenyewe atakuwa Hana Cha ziada city ...
Gamw vs Liverpool haaland kacheza vzuri ni vile tu watu wanachuki nae binafsi ...Asante bro!
Unadhani hili la kukosa mshambulizi namba tisa asilia ni hoja ya msingi ya kumlaumu? Sidhani Liverpool ni mfano mwema.
Kama Pep anaamini kuwa Halaand atamaliza tatizo la kosakosa yaani kumpata clinical finisher. Nina hakika amelamba dume. Hajakosea.
Kumlaumu Haaland kwa gemu ya juzi ni ushabiki si uanamichezo. Hebu kumbuka ile mipira miwili;
1. Position ya lile goli lililokataliwa kwa vile mpira ulikuwa umetoka.
2. Namna alivyoweza kutumia mwili (kipindi cha kwanza) kuwini mpira mbele ya Robertson na kupiga shuti kwa mguu wa kushoto akiwa hewani.
Hakika Pep hajapoteza.
Laana ipo kwa mashetani huko Hadi Ronaldo anatamani kuondoka kwa mkopo maana Hilo timu linamtia kichefuchefu [emoji23][emoji23][emoji23]jana tu kamvimbia ETH na kaondoka zake kabla game haijaisha ....haitaki kabisa unitedNyie nyumbu watoto laana fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaland NI mchezaji MZURI...linafahamiki ,huku kumponda NI UTANI wa mitandaoniMzee japo haaland wanamshambulia sana jana pep kasema alikuwa anajipostion vzuri na bado anamwamini ...!
Maana jana waandishi wamemuuliza "huna hofu na haaland kwa nafasi kubwa za wazi anazokosa"
Kasema bado anamwamini ...
Pep inaonekana kajitoa mhanaga kwa haaland liwalo na Liwe ,lazima haaland atapewa dakika nyingi sana ...
Na navomjua pep anakichwa kigumu hatari huwezi kumtoa kwenye Imani yake hata Kama team inaenda kupoteza ...tutalajie kumuonea haaland Kila game hata Kama atakuwa anakosa kosa ..
Hata sterling alikuwa anakosa kosa ,na aliweka record ya magoli ,Cha mhimu ni kujipanga upya na kuja na nguvu zaidi ....
Kwa hasira hizi jumapili westham atakula kichapo Cha mbwa Koko ,ni swala la muda ....
Sterling nae alikua mambo mengiSergio Aguero: "I don't understand the sale of Raheem Sterling [to #Chelsea], there are times that Manchester City make strange decisions."
(@aguerosergiokun - Twitch)
lakin hapo hata mm sikuwaelewa man city kwa gaby sahihiSterling nae alikua mambo mengi
Tatizo sterling hajui kufunga ,mpaka imtengenezee nafasi Kama sita kufunga goli 1Sterling nae alikua mambo mengi