The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

🐒
20220731_101742.jpg
 
Grealish ule ndio uwezo wake wa mwisho ,kiufupi ni average player ambaye hatakuja kuwa na maajabu yeyote .....

Uwezo wake umeishia pale ,hapa ni either pep aendelee kumwamini tu au aanze kuchezea bench ,awe anaonekana kwenye carabao tu ....
Sikuona sababu ya kiufundi ya kukubali jumuuza Sterling na kubaki na Grealish. Au ni dogo wa Kiparaguay anaandaliwa?

Je, kimfumo Kipara anamuhitaji Haaland? Kipi kilimfanya Aguero akose nafasi akiwa kwenye ubora wake?
 
Mkuu kiufupi pep kakosolewa sana maana amekuwa akitolewa uefa kisa Hana natural no 9 ,kosa kosa za kina sterling ndio zilisababisha pep aamue kuingia sokoni kutafuta striker ...

Aguero alikuwa kashafika ukingoni kwan za ndani kabisa walikuwa wanasema hata mazoezin alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kupumua ,hata alivoenda Barcelona ndio maana tatizo likawa kubwa ....

Kumleta halaand na kwa sababu ya kuweza kuwa "finisher" zile chance ambazo zilikuwa zinatengenezwa bila kumaliziwa pep anaamini zitakuja kuzaa magoli ....

Pep atalazimisha halaand kufit kwenye mfumo kwa namna yeyote ile , vinginevyo itakuwa ngumu zaidi kuiambia Dunia na board nzima kuwa halaand hawezi kumtumia na nadhani ndio utakuwa mwisho wa pep city ..kwanza mkataba unaisha 2024 ,Kama asipochukua CL basi yeye mwenyewe atakuwa Hana Cha ziada city ...
 
Wanaomu underrate haaland kwa mechi ya Jana tu wanakosea sana...anahitaji muda ili aweze kudeliver alichonacho na naamini huyu jamaa akishakaa vizuri kwenye style ya guardiola NOBODY WILL STOP THIS GUY
 
mambo ma 4 yuLe natahan AKe sijajua shida iko wap match fitness bado Ku play role ya centre beck bado sana although alikua anafanya tackling nzuri sana pep angeanza na defense ya Laporte na Dias kuliko huyu ake bora angeuzwa akaletea center back mwingine solid na technically
2.greaLish kwa nini pep anamuamin sana?? TuLitegemea this time around ataanza vzurii but still bado anatuchelewesha kwenye nchi ya ahadi hajafit kwenye state kabisa mara mia angeanza foden ile game ya juz imeniuma mnoo kiLa idaRa tuLizidiwa haswA eneo La kiungo angemuongeza kaLvin phiLLips na rodri wangepunguza iLe pressure paLe Kat

CanceLo mzuri kushambuLia but in case of defense katuangusha sana juz
 
Mkuu Laporte yupo majerehi na atakaa nje muda wa wiki 3 pep kashaliweka wazi ..

Mpaka msimu unaanza tutakuwa tunaenda na combination ya ..dias vs stone au ake ....

Ubaya wa ake sio creative kabisa hapa ndipo Laporte anawazidi wote ,EDERSON-- anaweza kuwa na mpira akampasia ake ,ake wakija kupress wapinzan hawezi kumove mbele au kupiga hata chenga kupass mpira kwa cancelo au mrefu kwa Mahrez ,anarudisha Tena mpira nyuma ,wapinzan wanazidi kutupresd Hadi kdb ashuke chini kuuomba mpira kupanda nao ....

Kitu kingine hatujakuwa na pre season nzuri ,tumecheza match mbili tu ,wakati wenzetu wamechaza game Zaid ya 5 pre season ...hivyo wachezaji wengi hawana match fitness ,na tunapoelekea basi tunaweza kuanza league vibaya kwa sababu,tunawachezaji wapya na hatujawachezesha game nyingi pre season ili wawe na muunganiko mzuri tunataka kuja kuwafanyia testing kwenye league,kitu ambacho inaweza kuwa hatari.....

Ni muda Sasa wa kumuanzisha foden badala ya grealish na kwa game imeyoisha sioni Kama next game against westham grealish ataanza ....
 
Mkuu kiufupi pep kakosolewa sana maana amekuwa akitolewa uefa kisa Hana natural no 9 ,kosa kosa za kina sterling ndio zilisababisha pep aamue kuingia sokoni kutafuta striker ...

Aguero alikuwa kashafika ukingoni kwan za ndani kabisa walikuwa wanasema hata mazoezin alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kupumua ,hata alivoenda Barcelona ndio maana tatizo likawa kubwa ....

Kumleta halaand na kwa sababu ya kuweza kuwa "finisher" zile chance ambazo zilikuwa zinatengenezwa bila kumaliziwa pep anaamini zitakuja kuzaa magoli ....

Pep atalazimisha halaand kufit kwenye mfumo kwa namna yeyote ile , vinginevyo itakuwa ngumu zaidi kuiambia Dunia na board nzima kuwa halaand hawezi kumtumia na nadhani ndio utakuwa mwisho wa pep city ..kwanza mkataba unaisha 2024 ,Kama asipochukua CL basi yeye mwenyewe atakuwa Hana Cha ziada city ...
Asante bro!
Unadhani hili la kukosa mshambulizi namba tisa asilia ni hoja ya msingi ya kumlaumu? Sidhani Liverpool ni mfano mwema.
Kama Pep anaamini kuwa Halaand atamaliza tatizo la kosakosa yaani kumpata clinical finisher. Nina hakika amelamba dume. Hajakosea.
Kumlaumu Haaland kwa gemu ya juzi ni ushabiki si uanamichezo. Hebu kumbuka ile mipira miwili;
1. Position ya lile goli lililokataliwa kwa vile mpira ulikuwa umetoka.
2. Namna alivyoweza kutumia mwili (kipindi cha kwanza) kuwini mpira mbele ya Robertson na kupiga shuti kwa mguu wa kushoto akiwa hewani.
Hakika Pep hajapoteza.
 
Gamw vs Liverpool haaland kacheza vzuri ni vile tu watu wanachuki nae binafsi ...

Kitendo Cha kujua kujipostio na kuwa eneo la hatari Kila tunaposhambulia ni ishara nzuri kuwa tayari ameshauelewa mfumo na tayari kashajiconnect na wengine ...

Naweza kusema kwenye football kuna "bad day in the office " na ndio kilichomkuta halaand Mikimbio yote alikuwa sahihi ,sijaona mahali ambapo haaland hakuweza kujipostion...!

Hata pep mwenyewe kasema haaland ni swala la muda tu atakuja kuscore ...!maana ndio kwanza hata league haijaanza ...
 
Nyie nyumbu watoto laana fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Laana ipo kwa mashetani huko Hadi Ronaldo anatamani kuondoka kwa mkopo maana Hilo timu linamtia kichefuchefu [emoji23][emoji23][emoji23]jana tu kamvimbia ETH na kaondoka zake kabla game haijaisha ....haitaki kabisa united
 
Mzee japo haaland wanamshambulia sana jana pep kasema alikuwa anajipostion vzuri na bado anamwamini ...!

Maana jana waandishi wamemuuliza "huna hofu na haaland kwa nafasi kubwa za wazi anazokosa"

Kasema bado anamwamini ...

Pep inaonekana kajitoa mhanaga kwa haaland liwalo na Liwe ,lazima haaland atapewa dakika nyingi sana ...

Na navomjua pep anakichwa kigumu hatari huwezi kumtoa kwenye Imani yake hata Kama team inaenda kupoteza ...tutalajie kumuonea haaland Kila game hata Kama atakuwa anakosa kosa ..

Hata sterling alikuwa anakosa kosa ,na aliweka record ya magoli ,Cha mhimu ni kujipanga upya na kuja na nguvu zaidi ....

Kwa hasira hizi jumapili westham atakula kichapo Cha mbwa Koko ,ni swala la muda ....
Haaland NI mchezaji MZURI...linafahamiki ,huku kumponda NI UTANI wa mitandaoni
 
Sergio Aguero: "I don't understand the sale of Raheem Sterling [to #Chelsea], there are times that Manchester City make strange decisions."

(@aguerosergiokun - Twitch)
 
Sergio Aguero: "I don't understand the sale of Raheem Sterling [to #Chelsea], there are times that Manchester City make strange decisions."

(@aguerosergiokun - Twitch)
Sterling nae alikua mambo mengi
 
Eeehuuuuu! Acha turejee kwa mipango ya kutetea ubigwa na kuweka nguvu zaidi Cl.
 
Back
Top Bottom