Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
tatizo beki mzee kuna sehemu imepwayaDaaaa hata sioni tatizo ni lipi
Tatizo kubwa ni mdomo wako kule kwenye group la arsenal.😂Daaaa hata sioni tatizo ni lipi
Bado condom moja kwenye pakitGoli la kwanza uzembe wa wote kabisa ,mpira unaputa kwa kdb ,rodri ,unamgonga stone ,wayaaaa....
ile corner ni uongo ,cancelo kapigwa ngumi kabisa ,ilitakuwa kuwa faulo ...
Haaaland anatoke aingie Alvarez ila pep hatafanya hivyo ,..
Rodri atoke aingiee gundo ....
Haaland kidogo asababishe red card na mabuti yake yalee ..
Hii game tumepigwa kihalali kabisa ,mbinu zimebuma ....
[emoji23][emoji23]
Vipi Halaand atoke?ujuaji mwingi kuliko kochaGoli la kwanza uzembe wa wote kabisa ,mpira unaputa kwa kdb ,rodri ,unamgonga stone ,wayaaaa....
ile corner ni uongo ,cancelo kapigwa ngumi kabisa ,ilitakuwa kuwa faulo ...
Haaaland anatoke aingie Alvarez ila pep hatafanya hivyo ,..
Rodri atoke aingiee gundo ....
Haaland kidogo asababishe red card na mabuti yake yalee ..
Hii game tumepigwa kihalali kabisa ,mbinu zimebuma ....
Ni ujinga kushabikia city akiongozwa goli mbili wakati wowote wanafanya lolote popoteCity wanajitahidi kwenye come back.
Dah ngoja nifute komenti yangu tu🚶🚶🚶Mwambieni halandi hii Ni Ipielo ..arudishe matak* ujerumani huku hatutaki watoto mchele mchele..
Futa kabisa mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah ngoja nifute komenti yangu tu[emoji124][emoji124][emoji124]
Tulia wewe arsenal Leo mtajua hamjui .....!![emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo kubwa ni mdomo wako kule kwenye group la arsenal.[emoji23]