Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Goli la kwanza uzembe wa wote kabisa ,mpira unaputa kwa kdb ,rodri ,unamgonga stone ,wayaaaa....
ile corner ni uongo ,cancelo kapigwa ngumi kabisa ,ilitakuwa kuwa faulo ...
Haaaland anatoke aingie Alvarez ila pep hatafanya hivyo ,..
Rodri atoke aingiee gundo ....
Haaland kidogo asababishe red card na mabuti yake yalee ..
Hii game tumepigwa kihalali kabisa ,mbinu zimebuma ....