Daaa tunacheza simple football utafikili tumeshashinda kabisa ,wachezaji wamerelax kabisa ....
Steve g kafunguka kaamua kucheza mpira kiufupi kajiamin hataki kukaa nyuma ....
Hii game inahitaji high pressing na energy ,vinginevyo naiona draw hapa ....
Hatuna hata shot on target ,hatuna hata mashambulizi ya maana ....
Pep sijui kamuogopa Steve g ,maana naona Kama vile kalizika kabisa ,....
Vinginevyo hapa inahitajika individual skills kumaliza hii game ...
Bernado kapoa ,cancelo cross zake hazionekani ,rodri katikati pamemshinda kutawala kabisa ,halaand kakamatwa kweli kweli , Alvarez nataman aingie ...
Wacha tuone kipind Cha pili ....