The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Timu nying Zina struggle sana kupata matokeo ,ila arsenal anaonekana anateleza tu [emoji23],any way wacha tuone kesho ,nyumbu amkazie hata draw tu ....maisha yaendelee tofauti hapo wataanza kutupanda kichwani Sasa
Ndugu Arsenal ni nguvu ya soda kingine hawana depth squad hiki kitakuja kuwagharimu baadae kumbuka kuna fa, carabao alafu Wana futuhi utakuja kuamini maneno yangu wakianza kupoteza points
 
Gem ya Leo itatoa mwelekeo kama kweli arsenal wapo serious na epl ,binafsi naombea draw ....

Niliwaangalia united game na lecister city ,kiufupi hawakucheza vzuri ni vile tu lecister city hawakuwa makin kule mbele kumalizia ...

ila man UTD hawaeleweki kuna muda wanakuamukia vzuri ,waki turn up Kama ile game ya Liverpool,wanaweza kupata point 3 ,japo ni Mara chache sana united kucheza form Kama ile mfululizo ...
 
Game ijayo epl tupo na spurs ,hapa inatakiwa tuoneshe Kama tunaitaka epl au tunasindikiza ,conte sio mtu wa mchezo kabisa ,kiufupi zile counter attack za kina son &Kane sio mchezo ,nakumbuka game ya mwisho walitufunga kiulain kabisa ....

Hii game pep anatakiwa kuhakikisha point 3 , spurs ni wa moto ,Wana turn up uwanja na wanawatu wa kupiga long ball , penetration pass ,yaan dakika moja unaweza jikuta kane yupo 1Vs 1 na ederson ,kwa uchezaji wetu wa kuanza slow ,utakuja kutughalimu .....

Any way wacha tumalizane Kwanza na sevila uefa .......! Then mipango ya kumumaliza conte itakuja
 
Mkuu hao spurz ni balaa..kwa mfumo namna ulivyo ni vyepes sana kujaa kwenye 18 za conte...itabidi tucheze kwa tahadhari zaidi lakini guardiola ni kichwa ngumu ataingia na approach zilezile
 
Hii ilikua ni nafasi adhimu ya sisi kukaa kileleni
 
Jack grielish na Nathan ake wamesharejea kikosini tayari kwa mapambano....kabaki laporte na philips
 
Jack grielish na Nathan ake wamesharejea kikosini tayari kwa mapambano....kabaki laporte na philips
Alvarez sijui kwanin pep hajamuamin ,pep aache Sasa Mambo meng Alvarez ni bonge la mchezaji ,game ya villa alitakiwa kuingia , gundo alikuwa kachoka,ile sub ya Mahrez angeingia Alvarez tu ...

Mwisho wa siku dogo ataona hapewu muda na heshima wakati ni bonge la striker...!
 
Yani guardiola huwa anakufa na kitanzi shingoni......Nilitegemea pia Alvarez angeingia. Ile game ilikua yake kabisa lakini ndo hivo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…