Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa alizaliwa hospitali kweli? Nahisi alizaliwa golini aisee
Ndugu Arsenal ni nguvu ya soda kingine hawana depth squad hiki kitakuja kuwagharimu baadae kumbuka kuna fa, carabao alafu Wana futuhi utakuja kuamini maneno yangu wakianza kupoteza pointsTimu nying Zina struggle sana kupata matokeo ,ila arsenal anaonekana anateleza tu [emoji23],any way wacha tuone kesho ,nyumbu amkazie hata draw tu ....maisha yaendelee tofauti hapo wataanza kutupanda kichwani Sasa
wewe mwenye Depth squad mbona hujapata ushindi wa 6/6[emoji1]Ndugu Arsenal ni nguvu ya soda kingine hawana depth squad hiki kitakuja kuwagharimu baadae kumbuka kuna fa, carabao alafu Wana futuhi utakuja kuamini maneno yangu wakianza kupoteza points
Ligi ni marathon mwenye kumaliza vizuri ndio mshindi sio anaeongoza mwanzo au katiwewe mwenye Depth squad mbona hujapata ushindi wa 6/6[emoji1]
Achana na arsenyeto hao in moto wa mabua tu.....tutawaona krismasLigi ni marathon mwenye kumaliza vizuri ndio mshindi sio anaeongoza mwanzo au kati
Mkuu hao spurz ni balaa..kwa mfumo namna ulivyo ni vyepes sana kujaa kwenye 18 za conte...itabidi tucheze kwa tahadhari zaidi lakini guardiola ni kichwa ngumu ataingia na approach zilezileGame ijayo epl tupo na spurs ,hapa inatakiwa tuoneshe Kama tunaitaka epl au tunasindikiza ,conte sio mtu wa mchezo kabisa ,kiufupi zile counter attack za kina son &Kane sio mchezo ,nakumbuka game ya mwisho walitufunga kiulain kabisa ....
Hii game pep anatakiwa kuhakikisha point 3 , spurs ni wa moto ,Wana turn up uwanja na wanawatu wa kupiga long ball , penetration pass ,yaan dakika moja unaweza jikuta kane yupo 1Vs 1 na ederson ,kwa uchezaji wetu wa kuanza slow ,utakuja kutughalimu .....
Any way wacha tumalizane Kwanza na sevila uefa .......! Then mipango ya kumumaliza conte itakuja
Mkuu league bado sana ,kuna timu zitakaa pale juu nyingi tu na mwisho wa siku team yenye consistency tu ndio itanyanyua epl ...Hii ilikua ni nafasi adhimu ya sisi kukaa kileleni
Tujikumbushe kidogoHawa wadogo zake na kuku wanajifanya kubana nachoamini second half hawataaminj kitakachowapata.na mwisho city tunakaa kileleni
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Hao villa walitamani mpira uishee ,kupata draw kwao ilikuwa Kama bahati ,kwanza tuliwafanya kitu mbaya sana mwaka jana etihad na Steve g wao baada ya kutumwa na kloppTujikumbushe kidogoView attachment 2346069
Alvarez sijui kwanin pep hajamuamin ,pep aache Sasa Mambo meng Alvarez ni bonge la mchezaji ,game ya villa alitakiwa kuingia , gundo alikuwa kachoka,ile sub ya Mahrez angeingia Alvarez tu ...Jack grielish na Nathan ake wamesharejea kikosini tayari kwa mapambano....kabaki laporte na philips
Yani guardiola huwa anakufa na kitanzi shingoni......Nilitegemea pia Alvarez angeingia. Ile game ilikua yake kabisa lakini ndo hivo....Alvarez sijui kwanin pep hajamuamin ,pep aache Sasa Mambo meng Alvarez ni bonge la mchezaji ,game ya villa alitakiwa kuingia , gundo alikuwa kachoka,ile sub ya Mahrez angeingia Alvarez tu ...
Mwisho wa siku dogo ataona hapewu muda na heshima wakati ni bonge la striker...!